bysange
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 4,456
- 1,565
eenhee,tinayala ya kuchomwa,tinayala ya kupikwa na pia tinayala hivihivi,ni matamu sana osie ootate naneeeaisee hayo m mma-goghwe mgothi
eenhee,tinayala ya kuchomwa,tinayala ya kupikwa na pia tinayala hivihivi,ni matamu sana osie ootate naneeeaisee hayo m mma-goghwe mgothi
Mkuu hayo matunda yapo menge sana mkoa wa unguja kule kwa bakari m sheni na jina lake ni MADORIANI na unuko mkali sana
ZAMBI YANGU waghoshi inywi, ekadu nyanguKuja ntanga wayaitanga Magoghwe!! Waume mia kwatama kaya ekai du. Komo neniuye siku sio nyingi.
Umekosea mkuu haya si madoriyani na hayana harufu.Mkuu hayo matunda yapo menge sana mkoa wa unguja kule kwa bakari m sheni na jina lake ni madoriyani na unuko mkali sana