sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
sungura1980. we shida yako nini? kama hofu yako ni kukutana na mama yako au dada yako si uweke username ambayo ni verified? kuondoa utata. sidhani kama pendekezo langu linashida pamoja na matumizi ya username zetu
Nyani Ngabu Anza kumpiga mistari huyu mtoto wa kike!
Ritz we mpige mistari Fixed Point!
Bishanga we chonga na Lady doctor.
afu tuone
Nyani Ngabu Anza kumpiga mistari huyu mtoto wa kike!
Ritz we mpige mistari Fixed Point!
Bishanga we chonga na Lady doctor.
afu tuone
kuku wako mwenyewe ya nini kumwinda na manati bishanga tena wa kuchonga kwa Lady doctor wakati mambo tulishayaweka sawia longtime?
Heaven on earth huyo Nyani Ngabu asikupotezee muda sio riziki halafu na afya mgogoro.
Nawasilisha.
mabwaku..........
Nyani Ngabu tena
Shabani wewe:becky:
Hahaaaa,Shabani wa kule Mwenge tuliyemsikia leo na Mhindi?
Bishanga mbona Lady doctor anakukana tena........kuku wako mwenyewe ya nini kumwinda na manati bishanga tena wa kuchonga kwa Lady doctor wakati mambo tulishayaweka sawia longtime?
Heaven on earth huyo Nyani Ngabu asikupotezee muda sio riziki halafu na afya mgogoro.
Nawasilisha.
Vipi, inakuwaje kwani?
nasubiria kutongozwa na wewe eti lol!!!!!
Yup....huyo huyo:becky: