The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Umeulizwa yote haya?
Hahaha! Alitaka aonekane ana info za kutosha kuhusu nyoka.
Umeulizwa yote haya?
Hafu hio kitoweo inachochea mzunguko mzuri wa damu mwilini hvo kusaidia stamina ktk tendo la ndoa.. Ni tiba kwa wanaozitafta nguvu za kiunoni na wale wenye matatizo ya moyo.
Hahaha! Alitaka aonekane ana info za kutosha kuhusu nyoka.
Mh nyoka hata umpike na nini simli
Wakati kumbe hata uki google tu unapata kila kitu na pengine kuliko hata hayo maelezo yake aliyojishebedua nayo humu jamvini.
Yes... Kama namna hii..
So sorry members...yaani nimetapikaje baada ya kuangalia haya madude!!?!?
Wakati kumbe hata uki google tu unapata kila kitu na pengine kuliko hata hayo maelezo yake aliyojishebedua nayo humu jamvini.
Jamani mmemsodoa mtoto wa watu hadi huruma!!!:banghead:
Hapana aisee. Hii ina vimelea!
Utakua mjamzito ww
So sorry members...yaani nimetapikaje baada ya kuangalia haya madude!!?!?
Kuna wengine wanapokuona ukila nyama ya mbuzi au ng'ombe wanatapika vile vile.....
Jamani mmemsodoa mtoto wa watu hadi huruma!!!:banghead: