Mara nyingi ni ile ngumu kumesa
Mchemsho ndio bora zaidi
Yes... Kama namna hii..unarosti kabisa au sio
aiseee. umeshawahi kula hii?Yes... Kama namna hii..
Kama wengine wanakula na haiwadhuru nami pia huwa napeleka tu....msafiri kafikiri na kitokacho ndio haramu.....
Nimeshakula vitu ambavyo nikivisema hapa......
Aisee labda kwa pm lakini hapa hapana