Nyama yenye virutubisho muhimu mwilini

Nyama yenye virutubisho muhimu mwilini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,548
Reaction score
860,648
1449508505113.jpg
 
Huyu ni Anaconda kwetu hapa Tanzania na Africa hatuna ila kwa hapa Africa nyoka mkubwa zaidi karibia na huyu ni rock python ambaye analiwa sana na watu wa Iringa, baadhi ya sehemu za Mbeya mpakani na Iringa, Uganda, Nigeria, Cameroon, Togo, Ghana, RDC.
 
mshana jr;
Leo acha tu nikupinge. Ukiangalia hilo domo tu hata ham sina. Dah!
 
Mshana acha ujinga bhana....samahani lakini
 
Hahhahaaaaaa Khantwe usijali kabisa najua heading imekuchanyanga lakini kumbuka nyama nyingi za samaki wa kopo ni hii mijamaa
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni Anaconda kwetu hapa Tanzania na Africa hatuna ila kwa hapa Africa nyoka mkubwa zaidi karibia na huyu ni rock python ambaye analiwa sana na watu wa Iringa, baadhi ya sehemu za Mbeya mpakani na Iringa, Uganda, Nigeria, Cameroon, Togo, Ghana, RDC.

Umeulizwa yote haya?
 
Hahhahaaaaaa Khantwe usijali kabisa najua heading imekuchanyanga lakini kumbuka nyama nyingi za samaki wa kopo ni hii mijamaa

Ngoja nitafute njia ya kujitapisha mkuu kwani kwa mujibu wa maelezo yako nina uhakika ninao wengi sana hao tumboni mwangu.
 
Hahahahaaaaaa nilishawahi kula mchemsho wake pale Zhong Hua garden Morroco enzi hizo...kuja kujua nimekula nini sikuhangaika hata kujitapisha manake alikuwa mtamu balaa!!! Very very delicious
 
Niliwahi kula chatu zambia bila kujua, niliambiwa after 3days kwamba was Rock python
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom