Nyalandu alishinda ubunge kwa rushwa - CCM

Mwenyekiti Wa CCM Mkoa Wa Singida, Martha Mlata Amesema Kuwa Lazaro Nyalandu Alianza Kuwa Shida Tangu Alipoteuliwa Kuwa Naibu Waziri Wa Viwanda Na Biashara, Aliposhindwa Kufanya Kazi Za Ubunge Jimboni Kwake.

"Kwa Hiyo Akawa Mzigo Jimboni Kutokana Na Kutofika Na Akifika, Anasimama Jukwaani Dakika Mbili Halafu Anashuka Huku Kukiwa Hakuna Cha Maana Alichokiongea. Na Hata Alipokuwa Jimboni, Hakuweza Kuwatetea Wananchi Wake Na Hatimaye Akawa Bubu Kabisa" - Mlata.

Mlata Alidai Kuwa Katika Kipindi Chote Cha Ubunge, Nyalandu Hakuwahi Kushinda Kwa Kupigiwa Kura Na Wananchi Zaidi Ya Kuhonga Wapiga Kura Na Shughuli Zote Za Ubunge Zilikuwa Zikifanywa Na Wasaidizi Wake Watatu Na Yeye Anafika Jimboni Ikiwa Zimebaki Siku Saba Za Uchaguzi.

MY TAKE:
Nadhani Nikisema CCM Haina Dhamira Ya Dhati Kupambana Na Rushwa Sitakosea. Mlishindwaje Kumshtaki Nyalandu Kwa Kutoa Rushwa Ili Ashinde Ubunge, Mkasubiri Ahame Mfanye Siasa Za Utapeli Na Kutapa Tapa? Hakika Kuachwa Kubaya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hiyo wewe ushahidi wako kuwa Nyalandu hakuhonga ni kwa sababu hakushitakiwa? Basi? Wahongaji huhonga hela, kama hujui, hii ni pamoja na mshitaki na mashahidi ba hakimu. Kwa vile hakushitakiwa huo ndiyo ushahidi tosha kwamba alihonga. Inawezekana hata wewe kakuhonga umtetee haoa - wahongaji ndivyo walivyo. Wataenda waraenda lakini baada ya siku 40 hushikwa, hizi ndiyo arubaini za Nyalandu anzua Faru John na Aunt Ezekiel. Na wanaompa ndege kwenda hospitsli Marekani ni hawohawo wawindaji, mwulizeni wamempendea nini wahe hivi hivi? Tundulissu ilikuwa naye aende USA diaspora ila sijui imefikia wapi labda Mbowe alikataa? Wakati mwingine Mbowe ni mzalendo.
Wakati mwingine kabla ya kuleta mada jamvini,tulia uweke mpangilio mzuri wa maneno na msamiati unaoeleweka,halafu ndipo uwakilishe.
Lakini kwa ukurupukaji huu inaelekea jiwe lililotupwa kwenye kichaka limetua utosini mwako.
Pole sana.
 
Mwenyekiti Wa CCM Mkoa Wa Singida, Martha Mlata Amesema Kuwa Lazaro Nyalandu Alianza Kuwa Shida Tangu Alipoteuliwa Kuwa Naibu Waziri Wa Viwanda Na Biashara, Aliposhindwa Kufanya Kazi Za Ubunge Jimboni Kwake.

"Kwa Hiyo Akawa Mzigo Jimboni Kutokana Na Kutofika Na Akifika, Anasimama Jukwaani Dakika Mbili Halafu Anashuka Huku Kukiwa Hakuna Cha Maana Alichokiongea. Na Hata Alipokuwa Jimboni, Hakuweza Kuwatetea Wananchi Wake Na Hatimaye Akawa Bubu Kabisa" - Mlata.

Mlata Alidai Kuwa Katika Kipindi Chote Cha Ubunge, Nyalandu Hakuwahi Kushinda Kwa Kupigiwa Kura Na Wananchi Zaidi Ya Kuhonga Wapiga Kura Na Shughuli Zote Za Ubunge Zilikuwa Zikifanywa Na Wasaidizi Wake Watatu Na Yeye Anafika Jimboni Ikiwa Zimebaki Siku Saba Za Uchaguzi.

MY TAKE:
Nadhani Nikisema CCM Haina Dhamira Ya Dhati Kupambana Na Rushwa Sitakosea. Mlishindwaje Kumshtaki Nyalandu Kwa Kutoa Rushwa Ili Ashinde Ubunge, Mkasubiri Ahame Mfanye Siasa Za Utapeli Na Kutapa Tapa? Hakika Kuachwa Kubaya.
Huu upuuzi kweli, sasa kama ni kweli kwanini hawakuwashtua pccb wamkamate?
Au ndiyo yale yale ya kusema ACACIA walimpelekea bils 30 mkulu akaikataa.
 
Huku siyo kumchafua Lazaro Nyarandu, Bali Ccm sasa inaoga nje, wacha waendelee kuweka mambo yao hadharani.
 
Mwenyekiti Wa CCM Mkoa Wa Singida, Martha Mlata Amesema Kuwa Lazaro Nyalandu Alianza Kuwa Shida Tangu Alipoteuliwa Kuwa Naibu Waziri Wa Viwanda Na Biashara, Aliposhindwa Kufanya Kazi Za Ubunge Jimboni Kwake.

"Kwa Hiyo Akawa Mzigo Jimboni Kutokana Na Kutofika Na Akifika, Anasimama Jukwaani Dakika Mbili Halafu Anashuka Huku Kukiwa Hakuna Cha Maana Alichokiongea. Na Hata Alipokuwa Jimboni, Hakuweza Kuwatetea Wananchi Wake Na Hatimaye Akawa Bubu Kabisa" - Mlata.

Mlata Alidai Kuwa Katika Kipindi Chote Cha Ubunge, Nyalandu Hakuwahi Kushinda Kwa Kupigiwa Kura Na Wananchi Zaidi Ya Kuhonga Wapiga Kura Na Shughuli Zote Za Ubunge Zilikuwa Zikifanywa Na Wasaidizi Wake Watatu Na Yeye Anafika Jimboni Ikiwa Zimebaki Siku Saba Za Uchaguzi.

MY TAKE:
Nadhani Nikisema CCM Haina Dhamira Ya Dhati Kupambana Na Rushwa Sitakosea. Mlishindwaje Kumshtaki Nyalandu Kwa Kutoa Rushwa Ili Ashinde Ubunge, Mkasubiri Ahame Mfanye Siasa Za Utapeli Na Kutapa Tapa? Hakika Kuachwa Kubaya.
ANayekufa maji, hata nyoka anamshika
 
Mbona MaCCM ushindi wa rushwa ni kawaida yao, hata Mlata alitoa rushwa ya mambo fulani!!!
 
Ikawa je aliendelea kushika hiyo nafasi. Au alipogundua ndio ameamua kujiuzulu?
 
Jamani, hivi ccm nani amewafanyia ulonzi?

Mmmh, basi sasa wawachambue wote wawafukuze kwenye chama.
 
Ukimuacha mpenzi wako ndo akaanza kutoa kashfa na kasoro zako jua umemshika pabaya,
Anakuhitaji sana lkn anajifariji,
Wale wahenga wenzangu tunajua ile hadithi ya sizitaki mbichi hizi
 
Back
Top Bottom