Nyakyusa house....Kyela.

Hamna sehemu yenye ardhi nzuri inayostawi kila kitu tanzania hii zaidi ya kyela,. Kyela utapata kakao,mawese,kahawa,mahindi,karanga,miwa,mihogo,ndizi,viazi,mianzi,.etc,. Mwemwemwe endumbula jikombab'a mwe okokobona kokaja popoki apo kokakokomyeto mbojonde pa mwambyale apo,.
 
Mmma nguhoboka linga mbilike abandu bikujoba cha kumyitu!!kyala abasaje bandu ba kyala..
 
Hamna sehemu yenye ardhi nzuri inayostawi kila kitu tanzania hii zaidi ya kyela,. Kyela utapata kakao,mawese,kahawa,mahindi,karanga,miwa,mihogo,ndizi,viazi,mianzi,.etc,. Mwemwemwe endumbula jikombab'a mwe okokobona kokaja popoki apo kokakokomyeto mbojonde pa mwambyale apo,.

Correction hapo kwenye RED: Mwemwemwe, indumbula jikumbabha mwe ukukubhona kukaja, popoki apo kuka kokumyitu Mbujonde pa Mwammbyale apo?
 
Dah,ntughele umo gwe,lelo amasiku agha sikajamo inyumba isyo,nfumile uko lu lu lu,abhajhanga vhatwele findu fingi nkamu
 
Naloli bhakanya kukaja kununu fijo napamo apakufwnikisania pa tanganyika apa. Lelo Isaga le twilalusye ukuti abhakamu bhitu keta bhalipakufulala nu ukufwa fijo tulinafiki keta jhitubhengile bhijo i sirikali ja ccm na abha policcm bhabho abha?Mugone Bhakamu bhangu.
 
Mkuu hivi Mbeya (kyela) nako kuna jando? Huko kwenye jando wanafundshwa na kufanya nini wakati ile kitu hawakati wanabaki kumenya ndizi tu? Naona DFP sasa wana mradi wa dondosha mkono sweta Mbeya!!! Hiv ukiwa na le kitu usafii ni aje ndiyo maana wengine wanatoa harufu!!!
 
Kwetu iringa inategemea wewe ni mnyakyusa wa wapi na wa version ipi maana ata Wandali nao ni wanyakyusa ila wanatofautiana kwenye matamshi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom