Nyakyusa house....Kyela. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyakyusa house....Kyela.

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Sep 6, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,324
  Trophy Points: 280
  View attachment 64114

  Nyakyusa traditional house-Ikibagha- nyumba za vijana, waliobalehe karibuni!
  Wakuu mimi nimepitia humu.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hapo ndani kitanda cha Mabhale na mpuku wako afu unabeba kabinti ka jirani,raaha
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,324
  Trophy Points: 280
  Unanikumbusha mbaaaali!!!
   
 4. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu ulikumbuka kupitia msibani kwa David Mwangosi kutoa ubani? kama hujapita fanya hivo utuwakulishe.
   
 5. phina

  phina JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mweeee..ndaga ba kumyitu!!
  Kangi ngubuka kilabo-linga mli na kafuko ka sukari,tufuta..mli mbango angutwalapo??
   
 6. E

  Edo JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mazingira yanavutia kwa kweli na bila shaka inaonyesha utaalamu wa asili, ma -architechs/engineers wa kuzaliwa!
   
 7. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huo mchanga sio kijiji cha makumbusho hapo K'nyama?
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,324
  Trophy Points: 280
  https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=64114&d=1346940504
  Tazama vizuri picha,hapo kuna mchikichi,mti wa cocoa , vitu ambavyo havipo pale mkumbusho.
  Na huo mti kwenye foreground, mti uliozungukwa na majani mapana(siyo grass specie) miti hiyo inapatikana tu kwenye rain forests-Kyela, Rungwe.
  Tafuta mti huo makumbusho na uweke picha hapa, na hutapata.
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Kukaja kununu fijo!
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Zikiwa nyingi mahara pamoja huziita Pakelomyana
   
 11. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 809
  Trophy Points: 280
  mtoa mada nisaidie mkibalehe sio mkitoka JANDO? sisi NGALIBA AKISHAWASHUGHULIKIA NDIO TUNAINGIZWA MBALI NA VIDOSHO HALAFU BAADA YA MWEZI NDIPO WANAPOKUJA ...............
   
 12. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,324
  Trophy Points: 280
  Mkuu JANDO sehemu hizi hata leo ni mila za kigeni , na Ngaliba huko hawa-exist.
  Sawa na kumhadithia mwarabu ice cream jangwani!

  Huko ukitaka kuvaa au kuvua soksi ni uchaguzi wa mtu, kuna mito kede kede kwa hygine na vidosho wa huko ni full kujiachia!
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hao huja kutahiriwa mijini hao.
   
 14. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi hiyo chanikiwiti tu tanzania bana nzuri bana tumekosa tu viongozi wazuri.
   
 15. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 809
  Trophy Points: 280
  Nimemuuliza mtoa Mada hayo mafunzo ya kubalehe hakuna kukata Soksi, sasa ni mafunzo gani wanayopata angedadavua.
  Maana mm jamaa zangu wa huko wanadai MUNGU aliamrisha usipunguze kiungo cha mwili wako, sasa ukiangalia kizazi cha Abrahamu wote walikwenda na walipona, kwanini nyie muende Hospital bila mafunzo?
  [​IMG]
  Picha kwa Hisani ya Mtambuzi hapo ni Uganda kwa wamaogoma wanatahiriwa hadharani, hata km ni Mzee, hii kitu nasikia imeanza huko Iringa Bado ishuke kidogo Kusini kwani hata Bunge (Naibu Spika)lilizungumzia mikoa iliyobaki muige mfano wa mkuu wa mkoa wa Tabora mwanamke kawasisitiza wale wote bado waende
   
 16. Challenger

  Challenger Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Gwamyitu! naloli ubhaghile kufikisya?? Ubha-tanganyika tuchanganyikigwe maisha makafu - tubhaghile pakukupa isukari nu munyu - tukwagha ujhooooo kutwalila ikighane kyako iki gwa kilelile kukajha
   
 17. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Namiss sana Kyela. Nilipenda ule ukijani, nilipokuwa njiani kwenda Ipinda. Nitarudi tena Kyela
   
 18. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Malafyale Masopakyindi, imbasa silipo?
   
 19. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,324
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona umeshajibiwa, hakuna utamaduni wa town vijijini kwetu.
  Halafu wewe hujui tu, sweta mali!!!!
  Ulisa mama Ngina!!!
   
 20. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,324
  Trophy Points: 280
  Gwe.. gwe. kungumbusya kukaja nkamu, kangi nu mpuga gwa pa Busale, butolwe!!!
   
Loading...