Nuru imeniwakia

Umemaliza... Kila la heri na hongera Sana.
 
Namuona MTU kapelekwa mahali, kanyang'anywa vibali vyote vya uhalali wa kuwepo nchi flani, kaingizwa kutumikishwa kwenye dangulo kinguvu, baada ya miaka 5, katupwa nje ya dangulo, anakamatwa na serikali...deported kwaoooooo, bongoooo na nguo alizovaa tu!!!?
 
Wivu mbayaaaaa
Dada ndo kabahatika jamani tumpongeze
Nyie aliwafuata mkampotezea Leo vipi tena walimwengu?
 
Bibi harusi Wetu mtarajiwa punguza presha Watu wa Humu ni kuwavumilia
Wenzio wanakuonea Wivu
Wapotezee tu
 

Kazi IPO...
 
Wafiland watu wabaya sana

Ntafunga na kuomba yasikukute yaliyo mkuta mwajuma ndala ndefu
 
Wafiland watu wabaya sana

Ntafunga na kuomba yasikukute yaliyo mkuta mwajuma ndala ndefu
Yaani niwabaya sana ndio maana ananiona naamemaliza kunisomesha sindio naendaga kwao najua familia yapata miaka kumi sasa msidhani uchumba unakuja kirahisi tokea awe anafanya kazi huku mpaka akamaliza
Hahaahah! Scandinavian countries wanaoa kwa mikataba..[emoji23][emoji23]Eti chuki ahahahaha
wewe kidudu mtu kifupi kha kiroboto kihanisi kichovu chenye nuksi kama kimelogwa au kimelaaniwa tena laana ya kudumu ambayo haina msamaha.
Acha kucomment kwenye huu uzi usitake nikuumbue.
 
Wivu mbayaaaaa
Dada ndo kabahatika jamani tumpongeze
Nyie aliwafuata mkampotezea Leo vipi tena walimwengu?
Nashangaaa vihanisi hivi vinashoboo kumbe vimechoka mbaya kama nini wananuka shombooo.
 
Hongera husband seeker

Mlijua waroho wa pilau tupo wengi mmeamua kufungia ndoa finland..Mungu anawazoom na uchoyo wenu
 
Maskini akipata maskio,pua,na vyote hulia mbwata..acha midadi utakuwa chapati kuwa na hekima ,umebadilika baada yakupatwa
 


Haha eti unaolewa na nyeupe, sio cheusi..mkuu una mindset ya kitumwa (slave mindset) kwa kudhani white is better than black..bila shaka huyo mzungu ana sura mbaya (mzee) na umemkubali coz umependea pesa zake na ww ukwee pipa, akishakufumua marinda utuletee mrejesho. Husband seeker
 
Maskini akipata maskio,pua,na vyote hulia mbwata..acha midadi utakuwa chapati kuwa na hekima ,umebadilika baada yakupatwa
Nilidhani unaakili huna badala ya kudai pole una sema ujinga ndio maana hamuendelei na ray anasemaga pumbavuuuu mina sema hundreads times.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…