Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Umeanza lini hiyo tabia ya kunifuatiliafuatilia? Kwani unanidai, iwe kujenga au kubomoa hayakuhusu, wewe si uliniblock sasa yanini kunichunguza[emoji57]Unaenda kuyajenga au kupaka rangi?[emoji57]
Umeanza lini hiyo tabia ya kunifuatiliafuatilia? Kwani unanidai, iwe kujenga au kubomoa hayakuhusu, wewe si uliniblock sasa yanini kunichunguza[emoji57]Unaenda kuyajenga au kupaka rangi?[emoji57]
Ewaah litakua jambo la heri ili na mimi nikilambwa block nijue[emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]Unajifanya hujui eeeh! Ngoja tumuulize vizuri bibie Husband seeker aje atufafanulie juu ya hiyo tekelinalokujia
Ewaah litakua jambo la heri ili na mimi nikilambwa block nijue[emoji39]
Aisee, naona unatamba baada ya kupata "NURU",Umeanza lini hiyo tabia ya kunifuatiliafuatilia? Kwani unanidai, iwe kujenga au kubomoa hayakuhusu, wewe si uliniblock sasa yanini kunichunguza[emoji57]
Hiyo harusi inafanyikia njia panda ya kwenda mbinguni na jehanamu?Asantee mwaya harusi mbali sana itafanyika ningekualika
Ntajuaje wakati hata hiyo tekinolojia ni ngeni kwangu[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] inamaana mpaka leo hujui kuwa ulishajiblock wewe mwenyewe? Kweli aliyekuroga alikufa bila kukurogoa
Asante mwaya nitajitahidi niwaletee picha nzuriCongratulations dear, may the blessings of God be upon your side. May all the plans be as u wish, OMG can't wait to see ur marriage,[emoji8][emoji7],, hopefully it will be fantastic.,Mungu hajakuacha,God has His perfect time
Hatumii huyu wangu kabisaaLazima ujue kuwa wazungu wanatumia Airtel, Voda na tigo. Jiandae kisaikolojia!
Nimecheka kwa nguvu, kama nakuona dah wanaume wanatesa, sijuhi umempata vipi huyo.?Ndio waliniblock nilimpata mkaka humu ile tu tunataka kuonana akadai simpendi akaniblock mwingine hadi leo hajaj sijamwona.
Ila ndio maisha nimepata nanitatulia
Sasa nilimpenda huyo kaka sana aliyeniblock ila inaonyesha hakuwa mkweli.
Ila nadhani anasoma naolewa nyeupe sio cheusi kama yeye .
Ukileta usisahau kunitag sisy[emoji5]Asante mwaya nitajitahidi niwaletee picha nzuri
Ndoto za kulewa balimi mchanaWajamani namshukuru Mungu,
Kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu kwa maana leo ndio imekuja kutolewa posa .
Sio wa jf wala wanini ni mzungu amenipunguzia machungu ni galfa ila na shukuru sana leo naitwa mchumba wa mtu.
Na mwezi ujao tarehe 3/11/2018 naolewa asanteni kwa wote mliojitokeza.
Asanteni muwe na wakati mwema
Acha wivu baba mliniblock whtsupp namkajidai na vigari vyenu niache nijilie pembeni .Hiyo harusi inafanyikia njia panda ya kwenda mbinguni na jehanamu?
Poa utaniona kama nitakuwa online we chezea husband seeker .Ndoto za kulewa balimi mchana
Kula sana mama lakini ujali na mazoezi maana kisukari na pressure sio vitu vizuriAcha wivu baba mliniblock whtsupp namkajidai na vigari vyenu niache nijilie pembeni .
Vitamuu wangu.