Nunua kifaa hiki kuongeza uwezo wako wa kusikia ( Behind the ear hearing aid)

nasikitika kuona vitu ambavyo serikali inavitoa bure wewe unauza. Jamani ivo vitu ni vya kitaalam sn msidanganyike nendeni wizara ya elim kitengo cha elim maalum mtaeekezwa wap mvipate na vipimo maalum kwa audiometer na mtapata form maalum audiogram itakayoonyesha uwezo wako wa kusikia katika decibells hapo ndo utajua utumie hearing aids ya aina gani lakini humu naona zinauzwa kama condom tu yani sio sawa. Sina lengo la kuharibu biashara bt ni huruma zangu kwa watanzania mbona mnashawishika kirahic ivo. Tafadhali mwenye swali aniulize kuhusu hii kitu naifaham kupita maelezo na sio rahc kama mleta mada anavyotangaza.
 
Nauza kifaa hiki chenye kusaidia kuongeza uwezo wa kusikia. Hii inatumika zadi kwa watu wenye uwezo hafifu wa kusikia.
Kifaa hiki kidogo ni chepesi sana ukivaapo sikioni, na unakuwa na uwezo wa ku adjust sauti kadiri utakavyo. Hivyo basi kama una ndugu au rafiki yeyote mwenye uwezo hafifu wa kusikia basi suluhisho limepatikana.
kifaa hiki kidogo kinakuja na betri zake mbili ( kama za saa) na kibox kidgo cha kuhifadhia ( hasa kwa wale wasiopenda kufaa kila sehemu). Angalia picha hapo chini:-

View attachment 67344View attachment 67345View attachment 67346View attachment 67347

Sehemu nilipo ni Dar es Salaam.

Bei ni TZS 40,000 kwa kimoja. Wahi kabla havijakwisha kwani vimebaki vichache.

Sehemu nilipo ni Dar es Salaam.

E-mail: investa.tz@gmail.com

naona ni kama WireLess headset vile, IMG_20140719_123007.jpg


vipi kuhusu battery life, je ni za kuchaji? je battery ni replaceable na zinapatikana? au battery zikiisha ni majanga.

kwa sababu kuna mtu aliwahi kusema kifaa hiki kinauzwa laki nane (800,000) au ndio fake na original?
 
kwakuwa mimi ni mtaalamu wa watu wenye usikivu hafifu,na nimtengenezaji wa vifaa hivyo au wasio na usikivu kabisa, naomba niwashauri huwezi kununua au kuvaa vifaa hivyo pasipo kupimwa na kujulikana tazo lako, limesababishwa na nini? linaitaji tiba au laa, sambamba na kupata ushauri nasaha, kwani wakati mwingne kwa watu wenye ulemavu wa masikio huwa hawapendi na huwaumiza masikio yao, sauti hukusanywa na chombo hiki kila upande na kuwa kero, jinsi ya kuadjast sauti. na zaidi mtauana masikio kabisa, audiometry + audiogram na autoscope pamoja na intepretation na calculation. ONYO USIVAE KIFAA HIKI PASIPO USHAURI WA INT AU AUDIOLOGIST
 
Ni muhimu kupata kipimo cha daktari kama inawezekana. Lakini hizi ni kama adjustable headphones, hivyo unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kadiri uwezavyo!

usidanganye watu uwasababishe kufa kwa masiki kupima na nakupata ushauri ni lazima.
 
Hearing Aids Side
Effects
Written by Gary Hill on 16th
July 2012 — Comments
Hearing aids are helpful
devices that can improve
the lifestyle of those with
hearing loss and provide
them with more
independence and
confidence. Having the
proper hearing aid for the
individual hearing loss is
essential for deriving the
maximum benefit from it and
avoiding discomfort and
frustration.
There are various types of
hearing aids aimed to fit
everyone’s specific
condition, severity of
hearing impairment and
personal taste. The great
choice of models sometimes
makes it difficult for the
wearer to choose. It is
advisable the choice to be
made together with a
specialist who can
recommend the best option
for the particular case.
Not using the optimal
hearing aid or not using it
in the correct way could
lead to some side effects
that may bother you and
make you feel
uncomfortable. However,
they can be easily avoided
and fixed with the
assistance of your
audiologist.
Bad fitting
If your hearing aid is too
tight, it may cause skin
irritation, soreness and
general discomfort and if it
is too loose, it can slip or
slide. Bad fitting can
interfere with the sounds
you hear and create more
feedback. Make sure to put
your hearing aid in carefully
and properly. If the problem
is with the device, you
should turn to your
audiologist for adjustment.
Feedback
Some hearing aids may
produce a lot of feedback
such as whistling, cracking
when put on, or when it is
windy. They may also make
loud sounds when chewing
specific foods or around
some electronic devices
that may cause interference
with the signal. Again, this
can be resolved through
consultation with your
audiologist.
Headaches and Tinnitus
When the volume of the
hearing aid is not properly
set particularly if set too
loud, it is possible to start
having headaches or
experience tinnitus or
ringing in the ears,
sometimes even pain. If you
feel any of these symptoms,
you should consult with a
specialist to examine your
complaints and fix the
hearing aid properties if
needed.
Improper sound level and
quality
Too low or too high volume
will feel uncomfortable and
not let you benefit from the
qualities of your device.
Every case of hearing loss
is individual and the
hearing aid needs to be
adjusted according to the
person who wears it. This
can also be achieved to an
extent by choosing a model
with a volume control. If
there is a severe hearing
loss, it is recommended to
look for a high power
hearing aid that has a
volume limit as increasing
the volume too much can
further damage residual
hearing.
Unlike glasses that fix
eyesight immediately,
hearing aids do not restore
the lost hearing ability right
away. In fact, they do not
restore hearing but help you
hear better and locate the
direction of the sound and
make it easier to cope in
conversations and
emergencies. However, the
sooner you start using them
the better. They need to be
worn to stimulate the brain
to recognize and process
sounds and contrary to
some popular myths, proper
wearing of hearing aids will
not lead to further
deterioration of your hearing
but help you immensely
with daily tasks and leading
a sociable life.
 
kwakuwa mimi ni mtaalamu wa watu wenye usikivu hafifu,na nimtengenezaji wa vifaa hivyo au wasio na usikivu kabisa, naomba niwashauri huwezi kununua au kuvaa vifaa hivyo pasipo kupimwa na kujulikana tazo lako, limesababishwa na nini? linaitaji tiba au laa, sambamba na kupata ushauri nasaha, kwani wakati mwingne kwa watu wenye ulemavu wa masikio huwa hawapendi na huwaumiza masikio yao, sauti hukusanywa na chombo hiki kila upande na kuwa kero, jinsi ya kuadjast sauti. na zaidi mtauana masikio kabisa, audiometry + audiogram na autoscope pamoja na intepretation na calculation. ONYO USIVAE KIFAA HIKI PASIPO USHAURI WA INT AU AUDIOLOGIST

yani watanzania cjui wakoje kuna watu bila shaka wameshavinunua na kuanza kuvivaa baadae watakapoanza kuskia maskio yanafanya ziiiiiiiii ndo watanikumbuka. Yale yale ya kumeza dawa bila vipimo
 
Hearing Aids Side
Effects
Written by Gary Hill on 16th
July 2012 — Comments
Hearing aids are helpful
devices that can improve
the lifestyle of those with
hearing loss and provide
them with more
independence and
confidence. Having the
proper hearing aid for the
individual hearing loss is
essential for deriving the
maximum benefit from it and
avoiding discomfort and
frustration.
There are various types of
hearing aids aimed to fit
everyone’s specific
condition, severity of
hearing impairment and
personal taste. The great
choice of models sometimes
makes it difficult for the
wearer to choose. It is
advisable the choice to be
made together with a
specialist who can
recommend the best option
for the particular case.
Not using the optimal
hearing aid or not using it
in the correct way could
lead to some side effects
that may bother you and
make you feel
uncomfortable. However,
they can be easily avoided
and fixed with the
assistance of your
audiologist.
Bad fitting
If your hearing aid is too
tight, it may cause skin
irritation, soreness and
general discomfort and if it
is too loose, it can slip or
slide. Bad fitting can
interfere with the sounds
you hear and create more
feedback. Make sure to put
your hearing aid in carefully
and properly. If the problem
is with the device, you
should turn to your
audiologist for adjustment.
Feedback
Some hearing aids may
produce a lot of feedback
such as whistling, cracking
when put on, or when it is
windy. They may also make
loud sounds when chewing
specific foods or around
some electronic devices
that may cause interference
with the signal. Again, this
can be resolved through
consultation with your
audiologist.
Headaches and Tinnitus
When the volume of the
hearing aid is not properly
set particularly if set too
loud, it is possible to start
having headaches or
experience tinnitus or
ringing in the ears,
sometimes even pain. If you
feel any of these symptoms,
you should consult with a
specialist to examine your
complaints and fix the
hearing aid properties if
needed.
Improper sound level and
quality
Too low or too high volume
will feel uncomfortable and
not let you benefit from the
qualities of your device.
Every case of hearing loss
is individual and the
hearing aid needs to be
adjusted according to the
person who wears it. This
can also be achieved to an
extent by choosing a model
with a volume control. If
there is a severe hearing
loss, it is recommended to
look for a high power
hearing aid that has a
volume limit as increasing
the volume too much can
further damage residual
hearing.
Unlike glasses that fix
eyesight immediately,
hearing aids do not restore
the lost hearing ability right
away. In fact, they do not
restore hearing but help you
hear better and locate the
direction of the sound and
make it easier to cope in
conversations and
emergencies. However, the
sooner you start using them
the better. They need to be
worn to stimulate the brain
to recognize and process
sounds and contrary to
some popular myths, proper
wearing of hearing aids will
not lead to further
deterioration of your hearing
but help you immensely
with daily tasks and leading
a sociable life.

Ndio inaitwa tinitus


usidanganye watu uwasababishe kufa kwa masiki kupima na nakupata ushauri ni lazima.




yani watanzania cjui wakoje kuna watu bila shaka wameshavinunua na kuanza kuvivaa baadae watakapoanza kuskia maskio yanafanya ziiiiiiiii ndo watanikumbuka. Yale yale ya kumeza dawa bila vipimo
 
Tafadhali naomba unifahamishe aina ya kifaa kama hiki ambacho nimepewa taarifa na mtu kuwa hakichukui surround sound na kama kipo naomba kujua bei yake maana mimi ni mtumiaji wa aina hii ya kifaa lakini tatizo lake kubwa ni pale unapokuwa eneo lenye mchanganyiko wa sauti huwa inakuwa tabu sana.
 
kwakuwa mimi ni mtaalamu wa watu wenye usikivu hafifu,na nimtengenezaji wa vifaa hivyo au wasio na usikivu kabisa, naomba niwashauri huwezi kununua au kuvaa vifaa hivyo pasipo kupimwa na kujulikana tazo lako, limesababishwa na nini? linaitaji tiba au laa, sambamba na kupata ushauri nasaha, kwani wakati mwingne kwa watu wenye ulemavu wa masikio huwa hawapendi na huwaumiza masikio yao, sauti hukusanywa na chombo hiki kila upande na kuwa kero, jinsi ya kuadjast sauti. na zaidi mtauana masikio kabisa, audiometry + audiogram na autoscope pamoja na intepretation na calculation. ONYO USIVAE KIFAA HIKI PASIPO USHAURI WA INT AU AUDIOLOGIST
Habari mkuu. Naomba unipatie namba yako nijue nawezaje kufata hizo process
 
Back
Top Bottom