Nunua godoro jipya, achana na lile uliloanza nalo maisha

Nmeanzia maisha 5*6*8"
Baada ya jamaa yangu mmoja kunishauri ukitaka kuanza maisha jichange na ununue kitu cha moja kwa moja na siyo kusema nitakibadilisha baadae kwan utapoteza pesa kurudi nyuma Kila siku badala ya kwenda mbele.

Kwann nilibadilishe wakat linafaa kulalia hata kwa baadae nikiwa na wife? na hata home nimelalia magodoro yaliyo nunuliwa kabla sijazaliwa had leo nikienda na yalalia na hayaja nidhuru Mimi siwez mambo ya kizungu hayo mkuu
Alinunua babu mpaka mjukuu analitumia.
 
Vipi wale wenzetu waliolalia ngozi,mikeka na nyasi miaka yote ya uhai wao na hawakuwahi kuumwa kiuno,mbavu wala mugongo
 
Mara yako ya mwisho kununua godoro lini?

Hilo godoro unalolalia lina inch ngapi?

Je, unafahamu mtu mzima anatakiwa kulala kwenye godoro la inch ngap?

Unafahamu watu wengi wanaumwa kiuno na mgongo sababu magodoro wanayolalia yameisha muda wake?

Sikia utafiti unaonesha watu wengi wanalala kwenye magodoro ambayo walinunua wakati wanaanza kujitegemea.

Kama wewe una zaidi ya miaka 2 haujabadilisha godoroni badilisha godoro haraka sana.

Kulala kwenye godoro zuri lisilo isha muda inakupa afya bora kwako na watoto.
😊😊 Mwisho wa mwaka kumbe huwa mtamu hivi?? naona hekima zinazidi kumwagika jukwaani
 
Nunua jipya coz kuisha kwa godoro sio muonekano...ni mda ambao limekaa

Kamba ...

Although mattresses typically do not have official expiration dates determined by the manufacturer, a standard mattress of good quality lasts from five to 10 years. Several factors affect the longevity of a mattress, including the quality of the materials and the sleeping habits of the owner.
 
5×6×8
Mwaka huu March - muda lilipotoka dukani

Halijatimiza hata mwaka 1

Kitu bado piruuu kabisa, naweza hata kumshikisha msukuma nikamwambia nimelinunua Nov
Lipeleke pala chamwino kuna msukuma mmoja anaweza linunua
 
Ukitaka kujua sura ya Magodoro yaliyochoka basi vizia siku watu wanahama
 
tulipokuwa bodi tunaangalia ni njuka gani amekuja na mizigo hasa sukari...njuka mmoja tuliona anafurushi tukamkaribisha mikono miwili domitori yetu tukianza kusema amekuja na sukari tukamuonyesha kitanda akapekupeku atatoa godoro kwenye kifurushi daah tulikasirika mno
 
Back
Top Bottom