Nunua godoro jipya, achana na lile uliloanza nalo maisha

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Mara yako ya mwisho kununua godoro lini?

Hilo godoro unalolalia lina inch ngapi?

Je, unafahamu mtu mzima anatakiwa kulala kwenye godoro la inch ngap?

Unafahamu watu wengi wanaumwa kiuno na mgongo sababu magodoro wanayolalia yameisha muda wake?

Sikia utafiti unaonesha watu wengi wanalala kwenye magodoro ambayo walinunua wakati wanaanza kujitegemea.

Kama wewe una zaidi ya miaka 2 haujabadilisha godoroni badilisha godoro haraka sana.

Kulala kwenye godoro zuri lisilo isha muda inakupa afya bora kwako na watoto.
 
Nmeanzia maisha 5*6*8"
Baada ya jamaa yangu mmoja kunishauri ukitaka kuanza maisha jichange na ununue kitu cha moja kwa moja na siyo kusema nitakibadilisha baadae kwan utapoteza pesa kurudi nyuma Kila siku badala ya kwenda mbele.

Kwann nilibadilishe wakat linafaa kulalia hata kwa baadae nikiwa na wife? na hata home nimelalia magodoro yaliyo nunuliwa kabla sijazaliwa had leo nikienda na yalalia na hayaja nidhuru Mimi siwez mambo ya kizungu hayo mkuu
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom