Nunua godoro jipya, achana na lile uliloanza nalo maisha

Mara yako ya mwisho kununua godoro lini?

Hilo godoro unalolalia lina inch ngapi?

Je, unafahamu mtu mzima anatakiwa kulala kwenye godoro la inch ngap?

Unafahamu watu wengi wanaumwa kiuno na mgongo sababu magodoro wanayolalia yameisha muda wake?

Sikia utafiti unaonesha watu wengi wanalala kwenye magodoro ambayo walinunua wakati wanaanza kujitegemea.

Kama wewe una zaidi ya miaka 2 haujabadilisha godoroni badilisha godoro haraka sana.

Kulala kwenye godoro zuri lisilo isha muda inakupa afya bora kwako na watoto.
Kitaalamu unatakiwa kubadilisha godoro kila baada ya miaka miwili
 
Me toka nimepewa godoro 2003 mpaka leo ni hilo hilo hakuna cha mgongo, tumbo, kichwa wala mbavu kuuma wala sioti ndoto za ajabu ajabu na kukoroma nakoroma saaafu kabisa.
 
Kikubwa ni chakula na mavazi hivi vingine vinakuongezea tu furaha ila sio vya lazima sana.
 
Back
Top Bottom