Nunua godoro jipya, achana na lile uliloanza nalo maisha

Wadau la kwangu 5*6 lakini nilinunua kipindi naanza maisha ila kwa sasa nimeoa naitaji kubadilisha si unajua mambo yetu yale itabidi nipate godoro 6*6, vipi bei yake imesimamaje huko sokoni embu leteni bei hili mwisho wa mwezi nikachukue kitu kipya kabisa
 
Wadau la kwangu 5*6 lakini nilinunua kipindi naanza maisha ila kwa sasa nimeoa naitaji kubadilisha si unajua mambo yetu yale itabidi nipate godoro 6*6, vipi bei yake imesimamaje huko sokoni embu leteni bei hili mwisho wa mwezi nikachukue kitu kipya kabisa

Kirchhoff hebu msaidie huyu!
 
Mimi Godoro natumia miezi 6 tu naachana nalo. Tena ya Spring haya ya kawaida week 3 tu nàgawa nanunua jingine. Godoro la spring tumia miezi 6 tu na haya ya kawaida week 3 unatupa unanunua jingine

Hayo ya spring yanapatikana wapi?
 
Hayo ya spring yanapatikana wapi?
Nachelea kuwatangazia watu Business. Ila ukienda pale M.City kuna supermarket moja inayo . Posta yapo maduka mengi na mikocheni pia. Ngoja niwasiliane na hawa wadau kama watakubali nilipa pesa ntakutajia wanapopatikana.
 
Mara yako ya mwisho kununua godoro lini?

Hilo godoro unalolalia lina inch ngapi?

Je, unafahamu mtu mzima anatakiwa kulala kwenye godoro la inch ngap?

Unafahamu watu wengi wanaumwa kiuno na mgongo sababu magodoro wanayolalia yameisha muda wake?

Sikia utafiti unaonesha watu wengi wanalala kwenye magodoro ambayo walinunua wakati wanaanza kujitegemea.

Kama wewe una zaidi ya miaka 2 haujabadilisha godoroni badilisha godoro haraka sana.

Kulala kwenye godoro zuri lisilo isha muda inakupa afya bora kwako na watoto.
Dah...watengenezaji wenyewe wanatuambia..."Alinunua Babu hadi mjukuu''
Wewe ni nani hasa hata uwapinge? 🤭:D
 
Huku kwetu Godoro ulim!!

Unalala afu unaamka kupumzika!!!!

Zen unalala tena!!!

N.B
Hapo Halijavamiwa na jeshi la kungun!:
 
Kama kuna godoro nalihusudu nikiwa mkubwa nitalinunua ni lile la kujaza upepo shida yake ukilala juu yake ni kama unasererka kwenye shimo lisilo na mwisho tu.
 
Kama godoro bado liko vile vile halijabonyea ununue jipya la nini? anzeni kuandika expire date basi kwenye magodoro....
 
Tatizo ni kuonekana mtaani unaingia home na godoro jipya. Waswahili wana maneno sana
 
Back
Top Bottom