Nunua godoro jipya, achana na lile uliloanza nalo maisha

Mara yako ya mwisho kununua godoro lini?

Ilo godoro unalolalia lina inch ngap?

Je unafahamu mtu mzima anatakiwa kulala kwenye godoro la inch ngap?

Unafahamu watu wengi wanaumwa kiuno na mgongo sababu magodoro wanayolalia yameisha mda wake?

Sikia utafiti unaonyesha watu wengi wanalala kwenye magodoro ambayo walinunua wakati wanaanza kujitegemea.

Km we una zaidi ya miaka2 haujabadilisha godoroni badilisha godoro haraka sana.

Kulala kwenye godoro zuri lisilo isha mda inakupa afya bora kwako na watoto.
Tangu 2009 kubadili ni 2030 tanfoam
 
2011 5x6 6" Tanfoam: Kabla sijaoa nikalilalia poa tuu Hadi nikaoa.
Wife Ana hips na wezere mwaka tuu likabonyea Sana sehemu anayolala. Nikaligeuza pia likabonyea Sana bila kurudi upande anayolala.

2018 5x6 8" Comfy: mwaka wa Pili sasa limebonyea Sana sehemu wife anayolala. Nadhani Ni kwa sababu akiwa mzazi anatumia mda mrefu kukaa na kunyonyesha au kubembeleza mtoto.

2021 4x6 8" Tanfoam: natarajia kubadili kitanda na godoro kwa ajili yangu na wife. Kitanda kikubwa nampa dada wa kazi na watoto wa kike. Kisha na wife 4 kwa 6 inatutosha.

Wanandoa Vitanda viwe 4 kwa sita.
Tumechelewa Sana.
 
Naunga hoja, the more kitanda chenu kinakuwa kidogo ndivyo mnapunguza chance ya ugomvi kudumu. Mtagusana tu.
 
Back
Top Bottom