Habarihttps://m.alibaba.com/product/60768...spm=a2706.8841146.1998817009.7.66e64eb0dBFxuA
Mkuu hii mpaka napata inacost shiling ngapi
TZS. 122,000Amazon product ASIN B00JE08H8O
Mwl. msaada tafadhal mpka mkononi
Naomba kuulza....Kwa mfano nataka kuagiza vtu vitatu kuptia kwako kutoka Amazon....kila bidhaa itakua na bei yake ya kusafirisha??TZS. 122,000
MUDA: Ndani ya siku 14
SAhihikila bidhaa itakua na bei yake ya kusafirisha??
Mchongo unakuwa je?For OnePlus 2 Two Heavy Duty Shockproof Protection Hybrid Case Cover Skin Black | eBay
Vena vArmor has a unique unibody structure crafted from premium thermoplastic polyurethane (TPU) and polycarbonate (PC) to provide robust all-round protection for your OnePlus 2 / OnePlus Two. The sturdy and ergonomic design of vArmor enhances user's experience while protecting your OnePlus 2 /...rover.ebay.com
AnhaaSAhihi
Sababu kila bidhaa itakuwa na uzito wake.
- Mfano iwapo utaagiza saa uzito wake ni chini ya 0.2kg
- Ila kama ni laptop uzito wake ni zaidi ya 2.5kg
Hivyo kila bidhaa itakuwa na gharama yake ya kusafirishia.
Jumla: TZS. 469,153Anhaa
Kwasaab nltaka kuagiza external HDD, memory card na earphones
Amazon product ASIN B079D3D8NRAmazon product ASIN B07FCMKK5XAmazon product ASIN B00JE08H8O
Hapo jumla itakua ngap??
Nilitaka kuagiza laptop kutoka UK.Ndio inawezekana ukajua kabla
Je ni bidhaa ipi unahitaji?
Je inatoka nchi gani?
Karibu
Ni gharama zaidi kuagiza nje ya nchi kwa laptop, ukilinganisha na bei za wauzaji hapa nchini.Nilitaka kuagiza laptop kutoka UK.
Nimepokea malipo uliyofanya. Na order tayari imefanyiwa kazi.
Ahsante
Nimepokea Parcel, Huduma nzuriTZS. 23,619.2
Muda: Wiki tatu
So why nimevamia hapa maana aliexpress, banggood na Gearbest hamna hayo makitu.
Hadi Dar ni TZS. 65,880,So why nimevamia hapa maana aliexpress, banggood na Gearbest hamna hayo makitu.
Amazon hawatumi pia
Kama hamna namna ya kunisaidia Weka link au Niambie utani charge ngapi?
Asee daahHadi Dar ni TZS. 65,880,
Ukiwa tayari kwa malipo nijulishe.