Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

- Item ipo NY
- Hivyo mzigo utapokelewa New Yrk kabla ya kutumwa Tanzania
upload_2017-6-11_9-40-45.png

upload_2017-6-11_9-26-56.png


Manunuzi na kuufkisha mzgo ofisini NY ni TZS 1,405,415

Then ghalama ya kusafirisha toka USA kuja TZ itatokana na uzito wa package yote, itajulikana baada ya mzigo kupokelewa USA.

NB: Mzigo ukifika tanzania kutakuwa na Tozo la VAT - Mamlaka husika watatupa ghlama utakayolipia.

Karibu
 
- Item ipo NY
- Hivyo mzigo utapokelewa New Yrk kabla ya kutumwa Tanzania
View attachment 522234
View attachment 522231

Manunuzi na kuufkisha mzgo ofisini NY ni TZS 1,405,415

Then ghalama ya kusafirisha toka USA kuja TZ itatokana na uzito wa package yote, itajulikana baada ya mzigo kupokelewa USA.

NB: Mzigo ukifika tanzania kutakuwa na Tozo la VAT - Mamlaka husika watatupa ghlama utakayolipia.

Karibu
Asante, unaweza kuniambia bei yake kwa hapa Tanzania?
 
Mwl. hii huduma yako inafaa kununua bidhaa kama iPhone au MacBook kutoka kwenye website yao apple.com??
Sahihi kabisa.

Yaani manunuzi ni kwa website yeyote katika taifa lolote; vz Germany, UK, Japan, USA, France, Thailand, etl

Kuna option mbii
1. Wewe ununue, then mimi nikusafirishie - SHIP4ME: Hapa utalipia ghalama ya kusafrisha tu , au
2. Mimi ninunue na kukusafirishia - BUY4ME: Hapa utalipia Ghalama ya manunuzi + kusafirisha

Kodi/ Vat - Baada ya mzigo kufika pia kuna ption mbili
- Wewe ulipie
- Au mimi nilipie

Karibu
 
Habari

Huyu muuzaji hatumi kuja TZ
upload_2017-6-21_4-41-6.png

Je nini kifanyike?
  • Item itanunuliwa na kupokelewa kwenye ofisi za USA
  • Ghalama ya manunuzi ni TZS 60,450

  • Baada ya mzigo kupokelewa, Uzito wake utajulikana, Na ghalama za kusafirishia itakuwa kwa huu utaratibu
upload_2017-6-21_4-44-25.png


Angalizo
- Ghalama ya kusafirishia yaweza kuzidi kidogo ghalama ya kununulia

Hitimisho
- Kutakuwa na awamu mbili za malipo
1. Manunuzi
2. Kusafirisha

KARIBU
 
ahsante mwalimu kwa post nzur. Nimesoma maelezo yako na coments za wadau umenivutia sana.naitunza link ya post yako then pind mambo yakiwa mazuri nitakutafuta
 
upload_2017-7-15_10-54-50.png

Leo nimeingia ebay kununua motherboard ya laptop Toshiba Satellite pro A120, nikaipata inauzwa dolla 36.38 kupitia hii link baada ya kufuatilia maelezo ya muuzaji nikaona hatumi kwenye PO BOX. Sasa wanajukwaa naomba mwenye kujua namna nyingine ya kupata address tofauti na PO BOX au jinsi ya muuzaji kukutumia kupitia DHL.
Mzigo umefika. Utatumiwa kwa EMS, Na utaupokea ndani ya siku 3.
Ahsante na share na wengine ukurasa huu wa JF kwa kuwapa hii short link www.bit.ly/101buy4me
Vuta subira Mkuu utasaidiwa
Solved
fungua address ya USA aitume huko kisha wapokeaji wataituma kwako.....kuna usgobuy.com au myus.com....usgobuy wanatoa 60 days za free storage myus wanatoa 6 days baada ya muda tajwa utalipia kila cku 1$ ya storage....maelezo zaid tembelea website husika....ziko nyingi Ila izo mbili ndio ninazotumia.....
Ninatoa hii huduma kama ilivyo kwa MYUS au USGOBUY, Faida ya kutumia huduma yangu ni hii.
  • Utapatiwa virtual address kwa mataifa zaidi ya 15 ikiwemo Japan, Dubai, Thailand, Germany, France, USA, UK etl,
  • Naweza kukusafirishia mzigo wako hadi TZ bila ya wewe kulipa chochote na malipo yote yakafanyika bada ya mzigo kufika Tanzania. Hivyo kuondoa hofu ya mzigo kukwama.
  • Malipo yote yanafanyika Kwa TZS tena kwa kutumia huduma ya simu- kwa kuweka kiasi husika kwenye simu yako.
  • Utapewa update za kila hatua ya mzigo wako
  • Ghjalama zangu ni nafuu ukilinganisha na MYUS au kampni nyingine za USA na
  • Utapewa Tracking number
au mtumie Mwl.RCT
DHL gharama ni kubwa kushinda hio hela ulionunulia
Ahsante chief, kupitia hii comment yako ndugu MimiTena amefanikiwa kupata item yake.

Manunuzi yalifanyika tarehe 8/07/2017 na leo 15/07/2017 mzigo umenifikia.
 
Back
Top Bottom