Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Unaweza kununua na kunisafirishia bidhaa ya dawa ambazo ni suppliment za kunywa toka USA?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wanasema link ambazo hazina s mwisho si salama (http ) pendelea zenye "s" mwisho meaning h=hyper
t=text
t=transfer
p=protocal
s=secured
so ,zote zinazokosa herufi "s" usidiriki kutoa taarifa zako za siri utalia siku moja share na wengine cio trusted web sites

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kununua na kunisafirishia bidhaa ya dawa ambazo ni suppliment za kunywa toka USA?

Post sent using JamiiForums mobile app
Ndio ndugu. Inawezekana.

Nitumie link ya hiyo item kwenye PM, nami nitakupa ghalama.

Karibu.
 
Wanasema link ambazo hazina s mwisho si salama (http ) pendelea zenye "s" mwisho meaning h=hyper
t=text
t=transfer
p=protocal
s=secured
so ,zote zinazokosa herufi "s" usidiriki kutoa taarifa zako za siri utalia siku moja share na wengine cio trusted web sites

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Ahsantte kwa angalizo ulilotoa.
 
Mwl.RCT
Samahani kwa usumbufu waweza nisaidia namna ya kuweka pesa katika Paypal a/c kwa kutumia transaction ya Mpesa, Tigo pesa or Airtel Money... au hii huduma haipo ktk matumizi ya Paypal...

Kama kuna namna yoyote ingine ya kufanya transaction kwa kutumia simu kununua au kulipia huduma za online tafadhali naomba unisaidie...

Asante
 
waweza nisaidia namna ya kuweka pesa katika Paypal a/c kwa kutumia transaction ya Mpesa, Tigo pesa or Airtel Money... au hii huduma haipo ktk matumizi ya Paypal...
Hiki kitu hakipo.
Paypal unalink card yako ya benki. Au account ya bank (kwa mataifa mengine ila sio TZ)
Jifunze zaidi kupitia link hizi

Kama kuna namna yoyote ingine ya kufanya transaction kwa kutumia simu kununua au kulipia huduma za online tafadhali naomba unisaidie...
Hili linawezekana iwapo tu
  • Una card ya benki ambayo tayari iko activated kufanya manunuzi mtandasoni
  • Ambapo waweza kufanya Top up ya fedha kwenye simu yako kupitia USSD service ya benki/ mtandao husika.
Buy4me
- Kupitia huduma hii waweza kulipia chochote kile unachokihitaji kutoka mahala popote duniani kupitia simu yako ya mkononi
- Pitia post namba moja kwa maelezo zaidi
- Au wasiliana nami moja kwamoja kwa whatsapp 0784 496 856 ili kufanikisha manunuzi

KARIBU
 
Mkuu mm nataka mafuta ya kuondoa michirizi original ya hapa bongo nimetumia akuna kitu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mwl ,naomba niangalizie hii kitu nipe gharama zake mpaka nakuwa nayo mkononi

In Stock ZTE Nubia Z11 mini S 4G LTE 5.2" MSM8953 Octa Core 2.0GHz 4GB 64GB 1920X1080 Dual SIM 23.0 MP Fingerprint Mobile Phone Amazon product ASIN B01M2AIS5N
 
TZS 948,934.13
upload_2017-7-16_18-59-52.png
 
Mbona gharama imekuwa kubwa mno mkuu? Au shipping cost ndo kubwa?
Sahihi kabisa.

Freight cost inazidi ghalama ya kununulia

Freight cost hukokoteolewa kutokana na uzito in KG au LB wa item husika

Hii TV ina uzito wa 57.5LB, Ambapo freight cost yake ni USD 687.94
upload_2017-7-16_21-48-53.png
 
Back
Top Bottom