Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,175
Unadhani tutamshauri nini sasa mtu kama huyu?
Ha ha haaaa nachekaje mbavu zangu mweee
Ha ha haaaa nachekaje mbavu zangu mweee
Balafugo, hi ki?
haitawezekana hata kidogo.
Balafugo, hi ki?
mi KiLaZa kweli wala hujakosea. Mungu akuongoze katika safari yako.
naona dogo unarukaruka kama senene
Watafutie movie inaitwa 'double wedding'.
Ikishindikana make their mom ur desert! Ulijua umeshaharibu na ney, X uliendelea kumsaka wa nini?
kichwa habari kisikuumize kichwa ni heanding kama ya magazeti.
umejishindia tuzo ya bazazi wa mwaka.
Na popobawa atakutembelea hivi karibuni
usiache kuweka vaseline karibu na kitanda chako
mtu na dada?
Hivi kongosho Mtu an dada kuna tatizo gani?
nafikiri tatizo dada yuko tayari kurusha 'chupi' church lol
hilo ndo tatizo lol