Dada mmoja kalipiwa ada mafunzo ya ushonaji na mume wake alivyojua katoka na mwalimu wake

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Kuna huyu dada (anawatoto wawili japo mdogo), kalipiwa ada ya mafunzo ya ushonaji na mume wake, kajifunza mpaka akajua.

Picha linaanza mwalimu wake akawa anamegua kama wife, kibosi.

Haikuishia hapo mwanamke maelewano na mume wake yakawa ya kuunga unga baada ya kuanza kushika pesa.

Hapa naweka ujumbe kuna kesi polisi ya mwanamke kutoroka na Bro mwingine aliyekuwa anajifunza ufundi pia kwa mwalimu huyo huyo, lakini akawa kauza mazao kwahiyo anakibunda fulani cha kula.

Mwalimu wao anahangaika kuwarudisha maana mume wa mwanamke huyo kasala sana (mume alikuwa anampiga sana huyo mwanamke unaambiwa).

Simply, mwanamke baada ya kujua ufundi alianza kumvimbia mume wake, maana mume hakuwa na kipato cha kueleweka japo alijibana mpaka kumlipia ada.

Tujitahidi sana kuchagua mama wa kuzaa nazo, hii issue inakata sana na ime trend sana.

Bro unapaswa kujua mwanamke wako akikuzidi kipato kuna namna atazingua tu na pia uanaume na heshima ndani havitengenezwi kwa kumpiga mwanamke.

Kutoka X
 
Kuna huyu dada (anawatoto wawili japo mdogo), kalipiwa ada ya mafunzo ya ushonaji na mume wake, kajifunza mpaka akajua.

Picha linaanza mwalimu wake akawa anamegua kama wife kibosi.

Haikuishia hapo dem maelewano na mume wake yakawa ya kuunga unga baada ya kuanza kushika pesa.

Hapa na tweet kuna kesi polisi ya demu kutoroka na Bro mwingine aliyekuwa anajifunza ufundi pia kwa mwalimu uyo uyo lakini akawa kauza mazao so anakibunda fulani cha kula.

Mwalimu wao anahangaika kuwarudisha maana mume wa demu kasala sana. (mume alikuwa anampiga sana uyo demu unaambiwa)

Simply demu baada ya kujua ufundi alianza kumvimbia mmewake maana mume hakuwa na kipato cha kueleweka japo alijibana mpaka kumlipia ada.

Tujitahidi sana kuchagua mama za kuzaa nazo, hii issue inakata sana na ime trend sana.

Kuoa na kupata mke sahihi ni bahati nasibu.
 
YOTE HAYA YANASABABISHWA NA PESA

TUTAFUTE PESA, MORE MONEY = MORE RESPECT AND AT THE SAME TIME MORE MONEY= MORE PROBLEMS = MORE ARROGANCE
 
Kuna huyu dada (anawatoto wawili japo mdogo), kalipiwa ada ya mafunzo ya ushonaji na mume wake, kajifunza mpaka akajua.

Picha linaanza mwalimu wake akawa anamegua kama wife, kibosi.

Haikuishia hapo mwanamke maelewano na mume wake yakawa ya kuunga unga baada ya kuanza kushika pesa.

Hapa naweka ujumbe kuna kesi polisi ya mwanamke kutoroka na Bro mwingine aliyekuwa anajifunza ufundi pia kwa mwalimu huyo huyo, lakini akawa kauza mazao kwahiyo anakibunda fulani cha kula.

Mwalimu wao anahangaika kuwarudisha maana mume wa mwaamke huyo kasala sana (mume alikuwa anampiga sana uyo mwanamke unaambiwa).

Simply, mwanamke baada ya kujua ufundi alianza kumvimbia mume wake, maana mume hakuwa na kipato cha kueleweka japo alijibana mpaka kumlipia ada.

Tujitahidi sana kuchagua mama wa kuzaa nazo, hii issue inakata sana na ime trend sana.

Bro unapaswa kujua mwanamke wako akikuzidi kipato kuna namna atazingua tu na pia uanaume na heshima ndani havitengenezwi kwa kumpiga mwanamke.

Kutoka X
inaonekana mume hana pesa.....
 
Back
Top Bottom