Numekula mtu (dada) na mdogo wake

halafu unaona siiifa kuelezea! mimi nadhani ungekuwa unajiheshimu usingethubutu kutembea na mtu na mdogo wake! unasumbuliwa na ukicheche

sina sifa ya ukicheche. Labda tatizo langu kuja kuomba mawazo yenu hapa jamvi.
 
Swali lako zuri ila cameroon atalijibu kwa ufasaha zaidi kwa watu kama nyie
 
Hivi mnavutaga mibangi ya nini kama mna vichwa panzi?harakati za kiushuzi hizi hata unawezaje kuzieleza?
wonders shall never end

mkuu tatizo langu kuja kuomba ushauri hapa. Wangapi wanafanya mambo ya ajabu. Heshima kitu cha bure
 
halafu unaona sifa kuja kuleta huu upupu wako humu heshima kitu cha bure
 
At 28, unafanya haya?
Nilidhani 17
nenda hospital utakuwa na ugonjwa wa kuweweseka, labda hii ni ndoto tu mbaya

kongosho nimependa hapo kwenye red patakuwa panamuhusu sana,pia anahitaji msaada wa kiroho i mean maombi
 
At 28, unafanya haya?
Nilidhani 17
nenda hospital utakuwa na ugonjwa wa kuweweseka, labda hii ni ndoto tu mbaya

mbona mnaleta lawama wakiti tatizo limeshatokea. Cha msingi nifanyeje na sio lawama.
 
CtVKiLaza
Mkuu umechemka......................... ila I think the best way ni kuwakalisha wote kwa pamoja (not sure how you can manage that) muongee. Thay way you can apologize to the sister and/or challenge the lies she has been telling mdogo wake about you relationship
 
Nenda katubu kwanza kama kanisani au msikitini baada kutubu ufunge na kusali 30 days.......utapata jibu!!kama una imani fanya hayo nilokushauri!!!
 
Back
Top Bottom