Numekula mtu (dada) na mdogo wake

Walk the talk, heshima kitu cha bure wala mtu na dada?
kuna vitu hata kama huna dini kuna miiko, kwenu hakuna hata miiko?
Kushare na ndugu wa damu marufuku kubwa bora kushare na manzese yote

bahati mbaya.
 
mi KiLaZa kweli wala hujakosea. Mungu akuongoze katika safari yako.

Mwenyezi Mungu ananiongoza kila siku na nina imani atanizidishia, asante kwa dua yako! Enenda ulimwenguni kote ukawatangazie mataifa yote kuwa unashika bendera ya ubazazi na unikampopo wa mwaka!! Unataka ushauri gani ili hali huonyeshi kujutia kosa ulofanya na zaidi unajisifia kuwa umekula, shiba sasa.....aiyaa!!! Btw, sisi akili zetu zipo kichwani, lakini za kwako ziko huko chini! Uanaume wako ni fake, hujajijua tu. Umesikia KILAZA? Manake najua hutanielewa!
 
Duh,wewe kiboko! Bado unataka upelekage uchaf huo church? Any way.., judge not unles i judge myself. Kuhusu huyo Ney hakikisha siku hiyo havai chupi ndo itakuwa salama yako!
 
nafikiri tatizo dada yuko tayari kurusha 'chupi' church lol
hilo ndo tatizo lol

hana legal wala 'traditional' basis bana...anatingisha kiberiti tu....ndo maana nikauliza kama jamaa ako serious na X lol....thats an easy matter kabisa.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom