Number 5 kunani?

Number 5 kunani?

Nikikumbuka Miaka ya Nyuma Kipindi cha CDM ipo HoT sana Kule Arusha,Mwanza Vijana Walijitokeza Kupigania Chama wakidhani Kitawakomboa Mwisho wa Siku walipigwa Risasi na Wengine Kupata Majeraha ya Maisha

Leo Hii Hakuna Anayewakumbuka.

LIVE YOUR LIFE... Basi USIMPIGANIE MTU MWINGINE
Wanakumbukwa, chadema bado ina languish kwenye mabavu ya CCM.
 
Kwamba Kikwete kafa na kuzikwa ni baada ya uapisho wa mama Abdul
😂😂😂😂
FB_IMG_1759974854315.jpg
 
kikwete **** maye nitakunywa bia siku hiyo
 
Attachments

  • 20251009_090931.jpg
    20251009_090931.jpg
    78.5 KB · Views: 16
Nikikumbuka Miaka ya Nyuma Kipindi cha CDM ipo HoT sana Kule Arusha,Mwanza Vijana Walijitokeza Kupigania Chama wakidhani Kitawakomboa Mwisho wa Siku walipigwa Risasi na Wengine Kupata Majeraha ya Maisha

Leo Hii Hakuna Anayewakumbuka.

LIVE YOUR LIFE... Basi USIMPIGANIE MTU MWINGINE
Mbona umepanic sana!?....kila mtu anajipigania mwenyewe
 
Ni njia ya kuwatoa wadanganyika kwenye reli ama?
Je ni namna ya kuepusha mijadala HOT ama kuna ihalisia?
Kwenye vipindi kama hivi.. Timu maalum za kueneza uzushi kiufundi sana huwa active sana.. Na sometimes malipo yake huwa mazuri sana!
Je ni wangapi ambao DOB na DOD hufanana ama hukaribiana kama sio kushabihiana?

Hii kwa Malaika newborn babies hufanana kizaidi.
Kwa baada ya hapo itakuwa asilimia ndogo sana kutokea..

🤲🏼
 
Back
Top Bottom