Mkuu mathematics inapanda? 5-1=6?6 yupo musoma anakula ugali sato saivi
Wewe kutoka kapa sio kipimo sahihi kwamba mtoa mada amekwiva kwenye kutumia lugha yenye code ngumuMkuu umekwiva kwenye kusuka codes hapa nimetoka kappah😒
unatetea ulaji wako, ni haki yakoNikikumbuka Miaka ya Nyuma Kipindi cha CDM ipo HoT sana Kule Arusha,Mwanza Vijana Walijitokeza Kupigania Chama wakidhani Kitawakomboa Mwisho wa Siku walipigwa Risasi na Wengine Kupata Majeraha ya Maisha
Leo Hii Hakuna Anayewakumbuka.
LIVE YOUR LIFE... Basi USIMPIGANIE MTU MWINGINE
Aliye elewa naomba anielewesheNi njia ya kuwatoa wadanganyika kwenye reli ama?
Je ni namna ya kuepusha mijadala HOT ama kuna ihalisia?
Kwenye vipindi kama hivi.. Timu maalum za kueneza uzushi kiufundi sana huwa active sana.. Na sometimes malipo yake huwa mazuri sana!
Je ni wangapi ambao DOB na DOD hufanana ama hukaribiana kama sio kushabihiana?View attachment 3486104
Mkuu kumbe ni less sikuangalia vizuri nilidhani plus ahsanteMkuu mathematics inapanda? 5-1=6?
Yeye mwenye kuandika hata hajui kaandika niniAliye elewa naomba anieleweshe
P
Date of Birth (DOB) hayo mengine ongezea. Hatimaye tu-unlock hii codeAliye elewa naomba anieleweshe
P
Hizi ni propaganda mfu za misukule ya kibibi Samia.Nikikumbuka Miaka ya Nyuma Kipindi cha CDM ipo HoT sana Kule Arusha,Mwanza Vijana Walijitokeza Kupigania Chama wakidhani Kitawakomboa Mwisho wa Siku walipigwa Risasi na Wengine Kupata Majeraha ya Maisha
Leo Hii Hakuna Anayewakumbuka.
LIVE YOUR LIFE... Basi USIMPIGANIE MTU MWINGINE
Nikikumbuka Miaka ya Nyuma Kipindi cha CDM ipo HoT sana Kule Arusha,Mwanza Vijana Walijitokeza Kupigania Chama wakidhani Kitawakomboa Mwisho wa Siku walipigwa Risasi na Wengine Kupata Majeraha ya Maisha
Leo Hii Hakuna Anayewakumbuka.
LIVE YOUR LIFE... Basi USIMPIGANIE MTU MWINGINE
Mkuu hii ''habari'' ipo nadhani tangu juzi mpaka nikajiuliza kulikoni? Leo nilikuwa nasikitika (ama kushangaa labda) nilipoona picha za marais wote waliotangua, kasoro Nyerere. Wote wametangulia mbele ya haki, kasoro mmoja. Halafu sasa... wamefariki kwa mpangilio kama walivyokuwa wamejipanga kwenye picha. Klichonishangaza ni watu wanaombea yule alibaki naye aondoke..... nikajiuliza hii chuki... hii... ya wananchi kwa viongozi mbona iko juu sana na wahusika hawajali?
Ogopa Mano dua la maskini na asiye na nguvu..!Mkuu hii ''habari'' ipo nadhani tangu juzi mpaka nikajiuliza kulikoni? Leo nilikuwa nasikitika (ama kushangaa labda) nilipoona picha za marais wote waliotangua, kasoro Nyerere. Wote wametangulia mbele ya haki, kasoro mmoja. Halafu sasa... wamefariki kwa mpangilio kama walivyokuwa wamejipanga kwenye picha. Klichonishangaza ni watu wanaombea yule alibaki naye aondoke..... nikajiuliza hii chuki... hii... ya wananchi kwa viongozi mbona iko juu sana na wahusika hawajali?
Umenijia kwa kasi sanaBro uzee mwisho Chalinze mzee😀