Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,095
- 828,895
Ni njia ya kuwatoa wadanganyika kwenye reli ama?
Je ni namna ya kuepusha mijadala HOT ama kuna ihalisia?
Kwenye vipindi kama hivi.. Timu maalum za kueneza uzushi kiufundi sana huwa active sana.. Na sometimes malipo yake huwa mazuri sana!
Je ni wangapi ambao DOB na DOD hufanana ama hukaribiana kama sio kushabihiana?