Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Simba, Murtaza Mangungu hajawahi kuifunga Yanga kwenye uongozi wake, atupishe

Mwishokambi

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
305
1,166
Simba, chama langu nalolipenda kuliko hata kula itafanya mkutano wake tarehe 29 mwezi huu na moja ya agenda ni uchaguzi wa nafasi mbalimbali zilizo wazi, mmoja wa wagombea ni mwenyekiti anayemaliza muda wake Bw.Murtaza Mangungu.

Mimi ni mmoja wa wanachama nitaoshiriki kwenye mkutano huo lakini naahidi kupitia jf sitompigia kura Murtaza Mangungu kama ambavyo niliwahi kufanya hivyo wakati anagombea na Juma Nkamia.

Sababu zifuatazo zinanifanya nisimpigie kura na kuwashawishi wajumbe wenzangu tuachane na Mangungu kama kweli tunahitaji furaha.

1.Murtaza Mangungu sio mtu wa mpira, ameingia kwenye mpira baada ya kukosa ubunge jimbo la kilwa kaskazini.Hivyo kwenye mpira kama anatangaza jina ili arudi tena 2025 ambako ana uhakika atakuwa mgombea yeye kutokana na mbunge wa sasa Bw.Francis Ndulane kuchokwa na wananchi.

2.Murtaza Mangungu hajawahi kuifunga Yanga tangu awe kiongozi Simba, mara ya mwisho Simba kuifunga Yanga ni kule Kigoma kwa goli la Thadeo Lyanga na uongozi ulikuwa chini ya Kaimu Mwenyekiti Mwina Seif Mohamed Kaduguda Simba wa Yuda, ukipenda muite social scientist cum Journalist.

3.Mangungu hana uchungu na Simba, Simba imepoteza mashabiki wengi kwa uongozi wa Mangungu, Leo tunapocheza na Yanga hatuna imani wala uhakika kama tutashinda ama la, huko nyuma kila tunapocheza na Yanga umati unajaa uwanjani, yanga wenyewe walikuwa hawaji uwanjanj wakijua kuwa watafungwa, Leo chini ya uongozi wa Mangungu Yanga wanaomba mechi na Simba muda na mahali popote hata pale Bunju wako tayari.

4.Simba chini ya Mangungu imewapuuza wanachama, basi Mangungu hata kusema siku moja nikawaeleze wazee na wanachma mwelekeo wa Simba ukoje hana muda huo, yeye ni mwenyekiti wa wanachama, anatakiwa akutane na sisi wanachama atuambie kuna nini kwenye timu yetu, mbona hatuelewi elewi, hana muda huo.

5.Mangungu amesababisha Yanga ibebe ubingwa mwaka jana na mwaka huu inabeba tena ubingwa wala haina ubishi.Simba inaendelea kuisindikiza Yanga tu na wenzetu hakuna mechi watakayoacha pointi pale uwanja wa Taifa, Yanga ugenini wwmebakisha na Prisons, Mbeya City na Singida tu huku sisi tukiwa hatujaenda kucheza na Dodoma, Namungo, Ihefu, Mtibwa zote ugeninj na Azam.Hapo ni dalili tosha kuwa tumeuza tena ubingwa kwa Yanga msimu huu lkn Mangungu hajui hilo.

6.Ushirikiano mdogo sana na wanachama, wanachama ndio wanaojua ushindi unapatikanaje na upatikane vip, tulikuwa na akina marehem Priva Mtema, Juma Salum, Amir Bamchawi nk, hata Marco Masanja ambaye amefungwa ughaibuni alikuwa kiboko ya utopolo, Mangungu hana ushirikiano na sisi na hatumuoni kwenye matawi yetu.

7.Kushindwa kuushawishi uongozi kumsajilj Manzoki, adebayo nk, Mangungu anatuwakilisha sisi wanachama, sisi wanachama hatuangalii sana mambo ya mapato wala ninj, sisi tunataka wachezaji wazuri ilk roho zetu zikae sawa mtaani, furaha yetu sisi ni kumpiga Yanga na kufanya vzr ndani na nje ya nchi, sio kuongeza mapato ya klabu, sasa kama mapato yameongezeka kwann tunashindwa kusajili wachezaji wa maana, tumemkosa Manzoki we umekaa tu hutuambii sisi wanachama nini kimetokea, kwanini sisi tusikuone wewe sio mtu wa mpira.

Murtaza Mangungu apumzike akajiandae kugombea ubunge huko Kilwa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Popoma katika ubora wetu ule ule.
Na huyo Marco kilichomfungisha bila shaka ni nganda hizo kama kawaida yetu wana SeMBe.
 
Wajinga bado mpo wengi sana
 
Chama wenu kashindwa ataweza huyo mzee kweli??
1674410409854.png
 
Hana faida huyo apigwe chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom