Nukuu za JK

wanataka wanitoe wakati uchaguzi umeisha!
 
nchi hii inaudini
TUSAIDIANE KUPONYA MAJERAHA YA UCHAGUZI!
Matatizo haya hayatakwisha sababu na mimi niliyakuta!
 
Tanzania kuna foleni barabarani kwa sababu wananch wana maendeleo wamenunua magari mengi!
 

Tanzania kuna foleni barabarani kwa sababu wananch wana maendeleo wamenunua magari mengi!
 
"Mkinichagua nitaigeza KIGOMA na kua DUBAI"
 
Mkigoma tutawaajiri watu wengine watu wako wengi wanaotafuta kazi
 
"mzee mwinyi alikaa miaka 10 hakuyamalza, mzee Nkapa miaka 10 hakuyamalza, mie miaka 5 sijayamalza na mingne 5 sitayamalza, hvyo basi (kicheko) matatzo hayawezi kwisha" JK
 
" Wakitishinda(wapinzani) majukwaani tutatumia nguvu ya ziada" nadhan hii ilikuwa ni siku aliyorudisha fomu za kugombea urais 2010...!
 
" Wakitushinda(wapinzani) majukwaani tutatumia nguvu ya ziada" nadhan hii ilikuwa ni siku aliyorudisha fomu za kugombea urais 2010...!
 

What option does JK has? No rain no electricity!!! That is not an option at all.
 
Mwandishi wa habari: Mheshimiwa rais ungependa watanzania wakukumbuke kwa lipi baada ya Uongozi wako?
JK:Mh..ahaa...a,yah!,"ningependa wanikumbuke kwamba niliwakuta hapa,ntawaacha hapa". Yalikuwa ni mahojiano ya moja kwa moja baina ya waandishi wa habari na mgombea urais CCM 2010,kupitia ITV.
 
1)tatizo waandishi wa habari wengi ni makanjanja
2)uchaguzi umekwisha,mnaandamana..mna lenu jambo!
 
"mzee mwinyi alikaa miaka 10 hakuyamalza, mzee Nkapa miaka 10 hakuyamalza, mie miaka 5 sijayamalza na mingne 5 sitayamalza, hvyo basi (kicheko) matatzo hayawezi kwisha" JK
(10+10+5+5)=30 wote hawa ni wa magamba
 
Your excellencies!I can appreciate your deep memories,well done!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…