Im sure hajaachwa, amedolishiwa tu.
Afu ikamuingia kumoyo. Lol
mzima lakini wewe?
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
Kuna mipango haipangiki.wala nini,lol. Yaani ni full magumashi mwanzo mwisho. Hata mzee wa upako umpe sadaka vitz, haipangikiiiiiiiiiiiii
he he he.....
Confused confusions confusized my confused fuses and make my day hectic....but....but the young unknown Preta.......!!!...is Brat!.. yes let me call you da Brat(mtundu)*&%##$^*........:loco:
Hunishindi mimi
kila nikipita hata pale kijiweni nikuone nakuta hole kuna makaratasi tuu na vyupa kuashiria kuwa ushapita hapo na kuondoka zako
Mbona wazo lako la leo limejaa jazba?Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
unamaanisha alipata mpenzi mpya akajisifu au?