Nukuu Ya Leo....


Bora shetani unayelala nae kuliko malaika mnayepishana njiani............................umenena mama

Sent from my redberry.........
 
kwikwikwiwkiwkwikwiwwkm leo vipi shost
 
Hii ndio ngoma aliyokuwa ameisindikiza Kamanda Barlow saa 8 usiku nyumbani kwake!! eti huyu ni Mwalimi kha!!


sio tu mwalimu sema mwalimu wa shule ya msingi
 
dunia ya Mungu ,utajiri ni wa wazungu
alafu leo umeshapokea like zangu nying wewe sikupi tena ,mpaka mwaka uishe hasira yako ua wale jamaa wa mbagala imeisha ????????????
 
Preta
unamjua huyu mtu lakini
 
Last edited by a moderator:
"uliyeokota naye kuni ndio utakayeota naye moto"
 
Ukiwa na mwanamke mwenye matatizo kama umejitwisha gunia la miba au misumari ukafanikiwa kulitua na kupata mwanamke afadhari lazima upige mayowe vigelegele na shangwe.
 

Kiru! asee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…