Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 187
- 334
NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA
Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na changamoto, pale palipo na changamoto ndio tunahamasika, palipo na ugumu ndio tunahamasika palipo na maneno ndio tunahamasika kwa hiyo nataka nikuhakikishie Mh Rais kwamba tuko vizuri na tutahakikisha kwamba tunafika pale mwisho lakini kwa imani na ridhaa yako Mh Rais” Januari Makamba, 22 Disemba 2022