Hv unajua wapumbavu na malofa walikuwa wanaambiwa kina nani !!?"Wapumbavu na malofa"
Kasikilize upya Ile clip utaelewa kilichosemwa na kina nani hasa ni malofa...Sumaye na lowassa kuingia CDM
Aliowaambia tunawajua,ila yeye si ndio alisema?Hv unajua wapumbavu na malofa walikuwa wanaambiwa kina nani !!?
au nyie ndio wale wa kudandia mastory bila kujua sentesi nzima iliyosemwa!!?
Tuliona na kusikia wenyewe kupitia Luninga Live kutoka viwanja vya jangwani, (R.I.P viwanja vya jangwani) R.I.P Mr. CleanHv unajua wapumbavu na malofa walikuwa wanaambiwa kina nani !!?
au nyie ndio wale wa kudandia mastory bila kujua sentesi nzima iliyosemwa!!?
Malofa tuliokuwa hatuna elfu kumi ya kufungua akaunti NMBHv unajua wapumbavu na malofa walikuwa wanaambiwa kina nani !!?
au nyie ndio wale wa kudandia mastory bila kujua sentesi nzima iliyosemwa!!?
Lofa sio tusi...
The best quote of all the time from the Late his Excellency Mkapa.Kwa wale ambao mmesoma Songea Boys', pale library pana quote moja matata sana.. ngoja niijaribu kuikumbuka, maana kitambo kidogo.
"Tunafanya kila tuwezalo kuwapa elimu, lakini uamuzi wa kuitumia elimu hiyo ni wenu, tambueni kuwa upo mzigo mkubwa sana wa kuongoza hii nchi unawasubiri, someni kwa bidii sana, msituangushe, na zaidi sana msipate ukimwi"
Quote ilikuwa inanipa nguvu sana ya kusoma hakika!!
Wananchi mnalipa kodi na kodi zenu zinajenga nchi yenu na kuwaandalia viongozi njia njema ya kupumzika.....Lofa sio tusi...
Mamboooo.......