Katiba inavunjwa kila mara na kuleta madhara makubwa kwa nchi..watu wasiofaa kuwa viongozi wanakuwa viongozi kupitia uchaguzi haramu unaovunja katiba ya nchi kwa kupata viongozi wasiostahili kuwa viongozi.
Unapotokea nafas ya kiti cha urais ni nafasi pia ya kujisahihisha inawezekana hao walitaka kuvunja katiba wakati huo wa msiba wangeleta nafuu na kurekebisha makosa yaliyofanyika na pengine hali ingekuwa njema kuliko ilivyo sasa..ukisoma jinsi Mungu alimuweka Mfalme Daudi badala ya Mfalme Sauli si kwa njia inahojenga amani..
Lakini angalia baada ya Mfalme Daud kushika madaraka mambo yalibadilika kuwa mazuri zaidi ya wakati wa Mfalme Sauli..sisi ndio tunasema katiba ilitaka kuvunjwa na si Mungu alipanga nini baada ya Rais aliyekuwepo kufariki...!