Haya,wale waliomuandama wazili mkuu kuwa ni muongo wameshajua anayetakiwa kutoa taarifa sasa! Hana mamlaka ya kuongea anavyotaka kwa jambo hilo. RIP JPM.Hii inafikirisha sana, ni aina gani ya njia iliyotumika?

Kwamba serikalini kuna traiters wambea? Maana walitangaza bila kuruhusiwa na mamlaka husikaWapi ww, hicho kifo si kilikuwa taarifa zake zimejaa kwenye mitandao ya kijamii, na huyo makamu wa rais ni bingwa wa kusoma motandao. Au mnadhani alikuwa fala za hivyo wa kutojua chochote? Taarifa za kifo chake zilishika Kasi siku tano kabla ha kutangazwa rasmi na serekali.
INASIKITISHA KWA KWELI. hata hivyo, ndugu zangu, tujiandae kwa vitu viwili au vitatu, hata wale watu wa hali za kawaida na wa hali za chini. cha kwanza, jiandae nini utaachia watoto wako utakapokufa ghafla (ukifikiria hili utakuwa pia na nidhamu ya kuishi, acha dhambi usife mapema), pili, jiandae kufa katika Bwana, ni bora ufe katika Kristo kuliko kufa ukiwa na dhambi (bila kuokoka), mwisho ambalo linafanana na la pili, andaa moyo wako, kwamba ikiwa hautakufa hadi Yesu arudi basi usiachwe.
kuna kitu kingine, achana na imani potofu, imani ambayo hata mitume hawakuwa nayo, unapokuwa mgonjwa, kuita padre (ambaye hata hajaokoka ila ni mshika dini) ati akupake mafuta. mafuta hayasafishi dhambi, unatakiwa kutubu dhambi zako ili usamehewe, kafara la Damu ya Yesu Kristo ndilo linafuta dhambi, sio mafuta yaliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu, Yesu hakufa bure, hakuna mbadala wake. Biblia inasema aziungamaye dhambi zake atasamehewa ila yule anayezificha hatafanikiwa. padre naye ana dhambi zake, akupake mafuta wewe usamehewe dhambi au akupeleke mbinguni si angeyaoga kabisa yeye ili aende mbinguni kulivyo kuzuri? mbona tumekuwa vipofu?
Mwisho, kesheni basi kwa maana hamjui siku wala saa. unaweza kuwa rais, waziri, kiongozi wa dini, askofu n.k, utakuwa personally accountable kwa Mungu, hivyo ni jukumu lako kutengeneza moyo wako na Mungu kibinafsi ukiwa hapa duniani, baada ya kifo ni hukumu hakuna kuombewa na padre ili maiti isamehewe dhambi, never.
Chahali alisema haya wakati ule na leo Muda umekuwa Mwalimu.Kulikuwa na baadhi ya mawazo, kwamba inakuwaje juu ya makamu wa rais kushika nafasi ya urais. Nadhani walisahau kuwa katiba ya nchi inasema nini, ikiwa rais aliye madarakani anafariki au akishindwa kuongoza. Nami nilisema ni vema utaratibu huo ukafuatwa na ni jambo jema.
Chukua tahadhari kwenye kauli zako. Zitakuja kukuletea shida.Samia amshukuru Mungu kwa kuwepo mtu kama Mabeyo.
Ila baada ya hiyo mbeleko alichokifanya ni kukimbilia lile genge la mafisadi ya msoga.
Hilo sijui, lakini siku msiba rasmi unatangazwa ilikuwa ni kama mechi recorded, wakati huku mitandaoni kifo kilishajadiliwa sana.Kwamba serikalini kuna traiters wambea? Maana walitangaza bila kuruhusiwa na mamlaka husika
Asante mtumishiINASIKITISHA KWA KWELI. hata hivyo, ndugu zangu, tujiandae kwa vitu viwili au vitatu, hata wale watu wa hali za kawaida na wa hali za chini. cha kwanza, jiandae nini utaachia watoto wako utakapokufa ghafla (ukifikiria hili utakuwa pia na nidhamu ya kuishi, acha dhambi usife mapema), pili, jiandae kufa katika Bwana, ni bora ufe katika Kristo kuliko kufa ukiwa na dhambi (bila kuokoka), mwisho ambalo linafanana na la pili, andaa moyo wako, kwamba ikiwa hautakufa hadi Yesu arudi basi usiachwe.
kuna kitu kingine, achana na imani potofu, imani ambayo hata mitume hawakuwa nayo, unapokuwa mgonjwa, kuita padre (ambaye hata hajaokoka ila ni mshika dini) ati akupake mafuta. mafuta hayasafishi dhambi, unatakiwa kutubu dhambi zako ili usamehewe, kafara la Damu ya Yesu Kristo ndilo linafuta dhambi, sio mafuta yaliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu, Yesu hakufa bure, hakuna mbadala wake. Biblia inasema aziungamaye dhambi zake atasamehewa ila yule anayezificha hatafanikiwa. padre naye ana dhambi zake, akupake mafuta wewe usamehewe dhambi au akupeleke mbinguni si angeyaoga kabisa yeye ili aende mbinguni kulivyo kuzuri? mbona tumekuwa vipofu?
Mwisho, kesheni basi kwa maana hamjui siku wala saa. unaweza kuwa rais, waziri, kiongozi wa dini, askofu n.k, utakuwa personally accountable kwa Mungu, hivyo ni jukumu lako kutengeneza moyo wako na Mungu kibinafsi ukiwa hapa duniani, baada ya kifo ni hukumu hakuna kuombewa na padre ili maiti isamehewe dhambi, never.
Hakika, katika hali kama ile kauli yake ile hakupaswa kulaumiwa kwayoHaya,wale waliomuandama wazili mkuu kuwa ni muongo wameshajua anayetakiwa kutoa taarifa sasa! Hana mamlaka ya kuongea anavyotaka kwa jambo hilo. RIP JPM.
Bila shaka utakuwa chadema. Tena mkatolikiSamia amshukuru Mungu kwa kuwepo mtu kama Mabeyo.
Ila baada ya hiyo mbeleko alichokifanya ni kukimbilia lile genge la mafisadi ya msoga.
🙄🙄🤔waliopaswa kutoa taarifa wote walikuwa kenya kwa uhuru kenyata …
Mkuu SG walikuwa wahuni kupitiliza, mpaka leo ni wahuni ajabu! Ila sasa kwa kuwaita watu wengine wahuni hawajambo! Rejea kauli za Polepole kuhusu wahuni!Namba 10 inaonesha Tanzania tuna wahuni wengi sana wasiojali katiba ina maana gani.
Mkuu ni kweli, tutulie mtori upoe, nyama ziko chini! 🤣 🤣 🤣Kama katiba ingevunjwa sisi wananchi tusingekubali , kingewaka
👊🤝👏🙏🔭Napata hisia Mkaa hapa alitangulizwa strategically
Wote hao ni wahuni tuu wasio na akili ndio maana wote wamepigwa chini kiaina, hatuhitaji wapuuzi kama hawa kwenye power, Kuna clip nyingi sana zinazothibitisha upuuzi wa hawa watuHii namba kumi ndiyo inayochafua hadhi na heshima ya akina Kabudi, Bashiru na Ndugai.
Story tuu, kifo Cha kawaida kabisaHao ndio mainjinia ya mchezo wote