BinMgen
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 1,854
- 262
Huyu Zito ana matatizo, anaelewa kabisa source ya Vurugu za Zanzibar ni kauli za Swahiba wake wa Karibu na yeye kuwahi kukemea ni kama njia ya kuuonyesha umma kwamba yeye anazichukia hizo vurugu siyo kweli...
Zitto na Jusa ni marafiki/maswahiba na Jusa anahusikika kwa asilimia fulani kwenye hizo vurugu sasa tunamtenga vp yeye na hizo vurugu?
Na nini kipo nyuma ya hizo vurugu?
Wacha kujitoa fahamu wewe, vurugu za zenj nimatokeo ya Tanganyika kuendelea kulazimisha muungano huo ndio ukweli.