Nukta za Zitto kuhusu vurugu za wana-uamsho Zanzibar

Si mwandishi wa uzushi kama usivyo na kumbukumbu.
Thursday, April 19, 2012

Aliyefungwa kwa Makosa ya Kuchoma Msahafu Arudi Mitaani


Na Khamis Amani

BAADA ya kuhukumiwa adhabu ya kutumikia Chuo cha Mafunzo kwa muda wa miezi 18 kwa makosa ya kuchoma moto msahafu pamoja na juzuu za dini ya Kiisilamu, hatimae kijana, Ramadhan Handa Tuma atembea kifua mbele mitaani.
Kwanza nikupongeze kwa kuandika mengi kuhusu kesi ya huyu jamaa.
Ila hujasema kuwa alichoma Copy za nani?Km ni copy alizonunua kwa hela yake usahihi wa kumwadhibu haukuwepo.Hapa waislam wanachoma kisicho chao kanisa na gari, na kufanya hivyo kunawazuia wengine wasiweze kuabudu wakristu waliopo na wanaotaka ingia.Kosa kikatiba

Pia hujasema km aliacha uislam.Inawezekana akawa kauacha uislam na hakuona sababu ya kuweka vitu vyote vya dini hiyo na km aliona ni mafunzo sahihi na hivyo hawezi mpatia mtu mwingine.Basi hana tofauti na mtu anayeacha uchawi na kuchoma matunguli yake.
Ramadhan ambaye ni mkaazi wa Mombasa wilaya ya Magharibi Unguja, amepata faraja hiyo baada ya kumaliza adhabu iliyotolewa na mahakama ya wilaya Mwanakwerekwe Fubuari 21 mwaka jana.

Kama huyu jamaa alifikishwa ktk sheria angalu hilo linaonyesha sheria imafanya kazi cha kujiuliza mbona imekuwa haraka hivyo?na kosa la lililomtia hatiani si sahihi, kwani kama alichomea nyumbani hakuamaanisha chokoza mtu na haitofautiani sana na kuchoma vitabu vya zamani wakati wa kusafisha nyumba.

mahakama kumweka kizuizuini kwa ajili ya usalaa wake kunaamisha kuwa yeye ndiye aliyeahatishiwa amaniyake na si yeye kusababaisha kwa wengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom