Nuksi zingine watu hujitakia

Nuksi zingine watu hujitakia

Mambo mengine ya kukariri sana, sio kila mtu anaeoa anaolea nyumbani kwakwe, kwenye mji wake au nchini kwake. Sasa wewe Mchungaji wako wa kilokole ashakukarisha unaamini umetoka hapo na Baraka hataki hata uende Honey moon ambayo hata kwenye Bible ipo, Anataka uende na huzuni gheto kwako na Mpora wako utachapiwa nakuambia
Acha kudanganya,si lazima kwenda mahotelini,waweza funga ndoa na kuelekea nyumbani na maisha yakaanza safari,nyinyi ndo wale mnaochanganya ndoa na sherehe kubwa mpaka inakushinda,unakuta watu mpo ukumbini sherehe inaendelea lakini nje kuna magari ya kukodi kama 6 yanawadai pesa hamjamalizia,na hela zimekwisha mnaanza kuchangishana tena
 
Hayo yapo mjini tu huku kijijini hayapo huku shughuli za mchana zikiisha mnaelekea nyumbani kwenu ambako ndo makubaliano ya kwenda milele huanzia hapo
 
Acha kudanganya,si lazima kwenda mahotelini,waweza funga ndoa na kuelekea nyumbani na maisha yakaanza safari,nyinyi ndo wale mnaochanganya ndoa na sherehe kubwa mpaka inakushinda,unakuta watu mpo ukumbini sherehe inaendelea lakini nje kuna magari ya kukodi kama 6 yanawadai pesa hamjamalizia,na hela zimekwisha mnaanza kuchangishana tena
Sidhani kama kuna mahali tumeongelea Sherehe kubwa, tunaongelea honey moon, mlemavu wa fikra wewe, Baraka hazitoki mahali zinatoka kwa Mungu.
Haijalishi uko wapi ukiomba unapata baraka usipoomba hupati hata uoe na kuishi hapo hapo madhabahuni, ndio maana Loti alikuwa anaishi Sodoma lakini bado alibarikiwa
 
Kufikili unajua kuliko wengine ni aina ya ukichaa ulionao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom