Ntasimama

Ntasimama

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Habari wana jamvi? Naimani wengi wenu mmeshatoka makazini na bilashaka mmetulia majumbani mwenu,

Ni hali ambayo inatokea wanapokutana mwanaume na mwanamke wote wabishi na mwanaume akimtaka mwanamke kimapenzi, mazungumzo ni kama ifuatavyo
MWANAUME: Unajua binti mie nakupenda toka kitambo
MWANAMKE: Sa ulikuwa wapi kunambia sikuzote hzo?
MWANAUME:Nilikuwa sijajipanga..
MWANAMKE: Basi ndo ushachelewa nafasi zimejaa tayari
MWANAUME: Duuh kwakuwa nakupenda ntasimama ili akushuka mmoja nipate kukaa...
 
atasema hashuki.we mwambie samahani dada naomba nafasi ya pembeni katika gazeti lako la elimu haina mwisho(mapenzi).ntakutunzia siri.halafu malizia na mia.
 
pembeni kuna nafasi kweli? bora aombe kwenye buti ama carrier tu ieleweke. ila awe tayari kwa joto,jua ama vumbi. alfu
atasema hashuki.we mwambie samahani dada naomba nafasi ya pembeni katika gazeti lako la elimu haina mwisho(mapenzi).ntakutunzia siri.halafu malizia na mia.
 
Mi nitakuwa kama konda, huyo aliewahi mi sina shida nae..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom