Asante sana watu8Erickb52,
Mkuu pole sana ninaweza kuhisi ni namna gani umeguswa na huu msiba kwa kuangalia tu maneno machache uloyaandika.
Pole hizi pia ziwafikie wapenzi wote wa michezo ya maigizo na miziki ya Kitanzania, bahati mbaya mimi si muumini wa hizo sekta zote mbili...
Msiache kusali maana hamjui/hatujui siku wala saa hatma za maisha yenu/yetu itakapowadia....
Wasalam....watu8
MKATA KIU huyu jamaa alikuwa na style ya kipekee sana kwenye sanaa yan ametoka kipekee sanaDah kusema kweli hata mimi nimeumia sana.. Sharobaro ndo msanii pekee wa kibongo aliyekuwa ananipa raha nikimuona hasa kwenye matangazo,, style yake ya kuongezea na neno meeen na kujifuta futa mabega ilinipa raha sana...
To be honest amefariki mapema sana wakati nyota yake imeanza kung'aa,
Watoto wataguswa sana na msiba wako especially wamebug meeeeen...
Anaambiwa" Sharobaro tukimbie mabomu yanalipuka, anajibu ngoja nikabath meen then nivae supra meeeeen"
Asante sana Arushaone
Naenda Kesho.
Afu kuja PM,yale mambo yamekaribia.
Ilikua nikimkumbuka kanumba namtatafuta sharo nikimwona moyo unatulia
kumbe huwa unaangalia TV eenh...umeendelea kweli siku hizi
sa hv je?
Hellow CC
Binafsi nimeumizwa sana na huu msiba wa Sharobaro coz nilikuwa nampenda sana kuliko msanii yeyote nchini. Kwa kweli nimepoteza furaha yote..kifupi niko kwenye majonzi sana.
Naomba tujumuike kumuombea na binafsi ntakuwa kwenye maombolezo hadi baada ya mazishi.
Hivyo naomba tuonane baada ya mazishi yake!
RIP Sharobaro!
I remain
Erickb52
Agghrrr....
Nitakutafuna uso kama yule mkaka.
Chimbuvu haya maneno yako sio matupu hata kidogo...ni maneno mazito yenye ujumbe wa kweli....chitchat imepoteza mtu muhimu sana!Dear :BONGO MOVIES
From:JF CHITCHAT
Mioyo yetu ilipondeka kwa maumivu jana usiku baada ya kupata taarifa ya kifo cha ghafla cha muigizaji mpendwa sharo millionea,na kwa kweli hatuwezi kupima huzuni kuu mliyonayo sasa Bongo movie.
Tunatamani tungekuwa na maneno ya kuwafariji na kuwapoza maumivu yenu,lakini wana chitchat tunatambua hatuna neno lolote ambalo litawaondolea maumivu mliyonayo kwa sasa.mioyo yetu wana chitchat inasononeka kwa pigo mlilolipata bongo movie.
Japokuwa maneno kwa sasa yanaonekana matupu katikati ya majonzi mliyonayo hayo ndiyo tuliyonayo wanachitchat kwa ajili ya kuwapa ninyi bongo movies.tafadhali tunaomba mpokee maneno yetu haya yaliyopo katika maandishi kama kuwakumbatia kwa kuwapa pole.
Kwa majonzi makubwa
kwa niaba ya JF chitchat
Chimbuvu & Madame B
mie napenda kweli unavyotafuna uso shem loh hata siogopi...