Ntajuaje namba zilizopigwa ktk simu

Wadau nisaidieni demu wangu ana simu nokia 2600c, nyendo zake zimebadika sana kila tukionana jioni nakuta no na sms zote kadelete kabakisha zangu tu tofauti na zamani.
Mfano asbh nareset call duration to 0:00 lakini akirudi jioni nakuta call duration imekula muda zaidi ya muda wa call log
Kwa wataalam wa cm hakuna kasoftware au nanma yoyote naweza baini no zilizopigwa?
kaka unaspy lakini uko fiti?????? sio unaspy kumbe umeoza kwa mdada , halaf unakuja kukuta ya kuyakuta unakuja kuishia wodi ya VIP ya mirembe. pima nguvu zako kabla ku go ahead na uspy wako.

-THE END-
 
kaka ushawasili
 
Thanx, Point noted

Powa ikifikia hatua ya kumspy ambayo kwangu ni mbaya naona kunakuwa hakuna tena penzi then itabidi kwanza uanze na kumnunulia zawadi ya simu ambazo unaweza kuweka spy software kirahisi. Hiyo Nokia 2600 nimecheki haraka haraka kwenye google sio rahisi. Na vile ile vile sidhani kama unaweza kupata bure huduma hii.

mfano cheki hizi link spy phone, spyphone, spy software, sms spy, cell phone spy, mobile spy, call interceptor.
Catch Cheating Spouses with FlexiSPY - Spy Phone, GPS Tracker, Location Tracking, Remote Listening for Mobile / Cell Phones
Best Spy Phone - SMS Spy
 
kaka unaspy lakini uko fiti?????? sio unaspy kumbe umeoza kwa mdada , halaf unakuja kukuta ya kuyakuta unakuja kuishia wodi ya VIP ya mirembe. pima nguvu zako kabla ku go ahead na uspy wako.

-THE END-

Mkuu ofkozi, lazma nimpende dem wangu
lakini nilazima pia nijue kama mwaminifu nichukue maamuzi sahihi hata kama yatakuwa na machungu kiasi gani
 
My Grandmother always quoted two things.......A) The guilty will flee when no one is pursuing (meaning the guilty defend when no one accuses) and B) The first to accuse is always the first one guilty. Why do you think she is cheating? She is your girlfriend, not your wife, she has made no life long commitment to you, so if she wanted another guy, she could simply break it off with you, unless your totaly psycho and she is scared for her life.
 
umeongea point, majuzi niliokota wallet lina bonge la herizi. tunahitaji katiba mpya mkuu

Teh Teh Teh hapa nachekea sreen

Kweli tunahitaji katiba mpya na itambue na kueleza level na mipaka katika relationship kama Bf/GF, Lover fiancee ,partner , wife/ Husband
 
Powa ikifikia hatua ya kumspy ambayo kwangu ni mbaya naona kunakuwa hakuna tena penzi then itabidi kwanza uanze na kumnunulia zawadi ya simu ambazo unaweza kuweka spy software kirahisi. Hiyo Nokia 2600 nimecheki haraka haraka kwenye google sio rahisi. Na vile ile vile sidhani kama unaweza kupata bure huduma hii.

mfano cheki hizi link spy phone, spyphone, spy software, sms spy, cell phone spy, mobile spy, call interceptor.
Catch Cheating Spouses with FlexiSPY - Spy Phone, GPS Tracker, Location Tracking, Remote Listening for Mobile / Cell Phones
Best Spy Phone - SMS Spy

Mkuu ni kweli nimefikia hatua ambayo sina jinsi zaidi ya kumspy ili nijiridhishe kabla sijafanya maamuzi.
Nimezipita hizo software zipo powa lakini kwa cm iliyopo haiwezi.
kwakuwa maji nimeyavulia nguo sina budi kumtafutia cm nyingine.
thanx again
 
Mkuu ofkozi, lazma nimpende dem wangu
lakini nilazima pia nijue kama mwaminifu nichukue maamuzi sahihi hata kama yatakuwa na machungu kiasi gani
nimetumia neno "kuoza" ili kutafautisha na neno "kupenda" , mkuu nina mshkaji wangu mmoja mpaka leo anahesabu nyota mchana sababu alipekua simu ya manzi wake baada ya kugundua alichogundua akashindwa kuhandle. binafsi nakuunga mkono kwenye project yako, dunia limejaa mdudu hili bana sio la kufanya maskhara kabisa lakini pima nguvu zako kwanza kaka.
 
duh!
 
Hmm hapo kuna walakini hapo. Kwa nini namba awe anazifuta?

Mahusiano magumu sana aisee. Na mnaosema kwa nini aangalie simu ya mwenzie....mimi naona ni heri kujua kuliko kutojua. Kama demu ana njemba ingine je? Jamaa si atakuwa anapoteza muda wake tu...mahusiano ya siku hizi usanii mtupu.

Pole ndugu.
 
Hmm hapo kuna walakini hapo. Kwa nini namba awe anazifuta?

Mahusiano magumu sana aisee. Na mnaosema kwa nini aangalie simu ya mwenzie....mimi naona ni heri kujua kuliko kutojua maana. Kama demu ana njemba ingine je? Jamaa si atakuwa anapoteza muda wake tu...

Pole ndugu.
hiyo kupoteza muda ni half time tu kaka, full time ni kuletewa mdudu ndani. jamaa akabiliane na situation lakini kiume, sio anaangalia simu halaf anatoka toka mafua.
 
Umenena bonge la pointi babu. Maana demu anaweza akawa anamegwa raw na njemba zingine halafu na wewe unakula raw...tehtehteh....
 
My Grandmother always quoted two things.......A) The guilty will flee when no one is pursuing (meaning the guilty defend when no one accuses) and B) The first to accuse is always the first one guilty. Why do you think she is cheating? She is your girlfriend, not your wife, she has made no life long commitment to you, so if she wanted another guy, she could simply break it off with you, unless your totaly psycho and she is scared for her life.

Mkuu nataka kumuo nanimeisha jitambulisha.
Tatizo mkuu tulikuwa poa sana kabla sijabamba sms ya utata, kuanzia hapo cm ikaanza kufutwa. yaani hata ukitumia cm ingine kubeep nikija siikuti.
uzuri ni kuwa nilipo iona hio sms nilimuuliza akanambia wrong no, basi nilichofanya nilikaa kimya sijaongelea tena issue wala sijaonyesha kamanime mind wala namfatilia.
hasa nitakacho ni kujua kama ile no iliotuma sms bado inawasiliana maana niliichukua
 
Umenena bonge la pointi babu. Maana demu anaweza akawa anamegwa raw na njemba zingine halafu na wewe unakula raw...tehtehteh....

Ndio maana yake mkuu.
hatari tupu
 
Mkuu ni kweli nimefikia hatua ambayo sina jinsi zaidi ya kumspy ili nijiridhishe kabla sijafanya maamuzi.
Nimezipita hizo software zipo powa lakini kwa cm iliyopo haiwezi.
kwakuwa maji nimeyavulia nguo sina budi kumtafutia cm nyingine.
thanx again

Angalia list ya simu simple tu mpe zawadi ya X mas the utapewa maujanaja lakini inawezekana kuna wataaalam wanweza kukupa maujanja hata kwa simu hiyo subiri

Kuna kifaa kingine pia kinaitwa sim card reader. Kipo kama USB flash hicho ukinunua unaweza kuingiza simcard naku revover sms zilzofutwa kwenye simu card. google it uone

Unachotakiwa kuset kwenye simu message zinazongia ziwe saved kwa simcard na sio simu . Hii inaweza uwa njia feasible zaidi ya kuspy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom