Ntajuaje namba zilizopigwa ktk simu

My Grandmother always quoted two things.......A) The guilty will flee when no one is pursuing (meaning the guilty defend when no one accuses) and B) The first to accuse is always the first one guilty. Why do you think she is cheating? She is your girlfriend, not your wife, she has made no life long commitment to you, so if she wanted another guy, she could simply break it off with you, unless your totaly psycho and she is scared for her life.

good qoute
 
ndio nikakwambia msipende kuweka mazoea ya kuchunguliziana simu.....kwani ni lazima ujue mambo yote yanayoendelea kwenye simu ya mwenzio?......ndugu yangu utakuja kuniambia lakini mtakapo ishia sio pazuri......


ukiwa suspicious na kitu ni bora ufanye research kung'amua ukweli wa unachokisuspect cause the truth gon set u free ukisema ukaushe na tayari uko suspicious utakua unajiongezea matatizo zaidi especially kiafya na kisaikolojia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom