Wadau nisaidieni demu wangu ana simu nokia 2600c, nyendo zake zimebadika sana kila tukionana jioni nakuta no na sms zote kadelete kabakisha zangu tu tofauti na zamani.
Mfano asbh nareset call duration to 0:00 lakini akirudi jioni nakuta call duration imekula muda zaidi ya muda wa call log
Kwa wataalam wa cm hakuna kasoftware au nanma yoyote naweza baini no zilizopigwa?
mkuu hiyo kazi rahisi sana atakupata msg alizodelete na call alizopiga na kupigigiwa inawezekana je uto tayari mje wote na ww mnipe cm zenu majibu yako nipe demu wako na yake nikupe ww kama upo tayari njoo na kwa cm anayotumia najua atazamiaka ya nyuma aliponza kutumia hyo line zitakuwepo
nimesema toa sharti hilo kwani sipendi kuwa mgombanishi mana mwisho wa siku ukishajua anakuchit kinachofata ni kibuti chanzo me ninachoweza kufanya kwako na yeyeto hapa jamvini ni kumwelekeza namna ya kuvua samaki akavue mwenyeweDr hii yako imekaa vizuri.
lakini sasa nikija nae si atashtukia mchezo mzima? maana yeye hajui kama namfatilia
Mkuu bado kuna spy software nimeelekezwa na mdau mmoja lakini zimesimama bei yake, si unajua complication kibao kununua kitu online.
Hata hivyo bado nasikilizia toka kwa drphone. calvinpower nk
Du!sms spy software?!mama weee akiipata bwanangu iyo nimekwishaaaa!!noma
nimesema toa sharti hilo kwani sipendi kuwa mgombanishi mana mwisho wa siku ukishajua anakuchit kinachofata ni kibuti chanzo me ninachoweza kufanya kwako na yeyeto hapa jamvini ni kumwelekeza namna ya kuvua samaki akavue mwenyewe
kuna software inaitwa data recover unainstall ukisha install unatumia cardreader kuna setting unaweka kisha unaweza kusoma yote unayoitaji hata yolofutwa ata miaka ya nyuma ila laima cm yake iwe ina save kwenye cm card na model ulotaja inasave kwenye cm card upo mpaka hapo
Mkuu sio kama unatugombanisha, isipokuwa unanisaidia mimi ili niweze kufanya maamuzi sahihi.
Na je nokia 2600c haina memory card hiyo software tajwa inaweza kuapply ktk cm hii?
Mayu ya nini kujitia magharibi ya roho bure!
Piga na chini mapema, manake tayari ushaweka 'roho ya korosho', hata usipomnasa utasema hukumnasa kimakosa tu lakini tayari ushaamini kuwa ana cheat na uaminifu haupo tena.
Drphone nisaidie namna ya kutrack simu ya mywife nijue yuko location gan? maana nimechoka kudanganywa.
Mayu ya nini kujitia magharibi ya roho bure!
Piga na chini mapema, manake tayari ushaweka 'roho ya korosho', hata usipomnasa utasema hukumnasa kimakosa tu lakini tayari ushaamini kuwa ana cheat na uaminifu haupo tena.
mbona uitaji kuingia garama mkuu kama anakudanya yupo sinza wakati yupo kmara ni rahisi kumkamata mulize upo wapi? akikuambia sinza mwambie nisubiri hapo hapo nipo karibu na hapo.
ila kama unataka spy soft zipo nzuri za kulipia mkuu
Mkuu nataka kumuo nanimeisha jitambulisha.
Tatizo mkuu tulikuwa poa sana kabla sijabamba sms ya utata, kuanzia hapo cm ikaanza kufutwa. yaani hata ukitumia cm ingine kubeep nikija siikuti.
uzuri ni kuwa nilipo iona hio sms nilimuuliza akanambia wrong no, basi nilichofanya nilikaa kimya sijaongelea tena issue wala sijaonyesha kamanime mind wala namfatilia.
hasa nitakacho ni kujua kama ile no iliotuma sms bado inawasiliana maana niliichukua