NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

Status
Not open for further replies.
Mimi ni mkristo pure.. Lakini kusema kweli katika mashirika ya uma yanayojitahidi sana NSSF ndo inaongoza, kama kuna mtu anabisha anitajie mashirika ya uma yanayofanya vizuri sana kuizidi NSSF ?
 

Hapo kwenye blue, sasa kumbe pia wakristo nao walipata nafasi.
Hapo kwenye red, unajuaje waliochaguliwa ni vilaza?hata kazi yenyewe hawajaianza.Au matarajio yako binafsi kwenye hiyo interview hayakutimizwa?
Rejea hotuba za mwalimu nyerere kuhusu udini labda zinaweza kukusaidia.
 
wote mliocoment huko juu VICHWANI KWENU KUMEJAA VAPOUR! ACHENI UDINI, tumuogope MUUMBA! nawatakia siku nJema!
 
Ni heri ya wale wachomao makanisa mchana kweupe atleast unaweza ukatafuta ndoo ya maji au mchanga ukajaribu kuzima kuliko yule akuuguzae usiku ukiwa umelala.Mleta mada hana jipya ni wivu na udini ndio vimsumbuavyo!.
 
Tanzania na JF inaelekea kwenye shimo,toka itokee vurugu za mbagala badala ya sisi kujitofautisha na wengine ndo tunamimina thread za ku provoke kukashifiana!mtu mwenye akili yako unatunga tu uwongo unaleta thread jamvini na wadin wenzio wanachangia,pathetic.
Kwa michango tu hapo juu kumbe kuna watu wanampenda JK na Mwinyi kwa sababu muislamu na kuna wengine wanamchukia kwa sababu hiyohiyo na Mkapa na Nyerere pia.
Kumbe mnapiga kelele hapa ccm au chadema kumbe siku chadema wakiweka mgombea muislam mnahamia. huko na ccm wakiweka mkristo mnahamia huko pia,what a shame!endeleen kugombania din za wakolon lakin msilazimishe wote tuwe hivyo
 
well said mkuu...!!
 
umeona ee!
Ni heri ya wale wachomao makanisa mchana kweupe atleast unaweza ukatafuta ndoo ya maji au mchanga ukajaribu kuzima kuliko yule akuuguzae usiku ukiwa umelala.Mleta mada hana jipya ni wivu na udini ndio vimsumbuavyo!.
 
ni kweli mkuu umesema vema!
 
umeona ee...!!hata huko crdb bank full uchaga na ugalatia mbona hawaoni? jamani riziki anatoa Mungu tu so ni kuachana na haya mambo ooh waislam wamejaa nssf, mbona taasis nyingine hamsemi kuwa wamejaa wagalatia? tufanye kazi majungu hayalipi jamani!
 
hizi sasa ni dharau! mh!
 

Mleta maada amesema kuna udini NSSF, ambao watu wengi pia wameshawahi kusema. Lakini nashangaa kuna watu wanaingiza mambo ya siasa tena sijui kuanzia Nyerere hadi Kikwete (marais waislamu vs. marais wakristo). Nadhani hii ni njia ya kukwepesha maada. Maada hapa ni kwamba NSSF kuna udini. Huko nyuma watu wameshanguzumzia kuwa TRA kuna ukabila, Benki kuna Ukabila n.k. Sasa kwa nini hapa tukimbilie kwenye siasa badala ya kujadili maada yenyewe?
 

Hakuna cha kununuwa silaha zozote kwa fedha taslimu wala hiyo vita siyo chanzo cha matatizo ya kiuchumi, uchumi ulikufa mwaka 1967 baada ya kutangazwa Azimio la Arusha na kutangaza mfumo ulio-feli "fail" wa ujamaa na kujitegemea.

Vipi Mwinyi aweze kurudisha uchumi kwa siku 180 za mwanzo unapotakiwa uwe, Nyerere umshinde toka vita kwisha? hasara yote iliyopatikana vita vya Uganda inalipwa na Waganda wenyewe mpaka hii leo. Usitake kudanganya watu. Nyerere was a failure politically and economically. Kipi cha maana alichokifanyia Tanzania hii?

Umekubali kuwa nchi ilikuwa taabani alipoichukuwa Mwinyi halafu unataka kujidai Mwinyi kamwachia Mkapa nchi taabani. Ueleze Nyerere aliacha akiba ipi benki alipoondoka na Mwinyi alimwachia ipi Mkapa?
 

This is terrible.
If you were among the panelists and you witnessed the malpractices, why didn't you raise up your voice to address the issue. To my understanding, a member of a panelist has the right to object anything which is not well done.
As Tanzanians, we need to stop blaming blaming blaming all the time. Take action instead of lamenting. We should stop lamenting rather take action!
 
HUyo mleta mada anayo habari ya kuwa NSSF,its the only source of income ambayo serikali anajidai nacho,mbona hai rely na TRA,ambapo ni uozo mputu?,tafakari.
 
Wewe hufai kabisa kupewa jukumu lolote lile la kitaifa.
umepewa wadhifa wa kuwa kwenye panel hiyo na hali hiyo umeiona jee umechukuwa hatua gani officially?
Mimi ningekuwa wewe cha kwanza kufanya ningewaarifu wenzangu kwenye panel kutoridhishwa kwangu na hali hiyo
baada ya hapo ningeiandikia menejimenti [CEO] nakala kwenye bodi kuhusu hilo na kama bado hali ingeendelea ningejiuzulu lakini kabla ya hapo ninearifu takukuru kwa maandishi juu ya hali hiyo pengine baada ya hapo ningekuja jamvini kubwabwaja.
mimi ninadhani huo ni unafiki. pengine hela za kikao ndiyo zinakufanya uwe mtumwa wa hali hiyo.
Jee kwa kuja kutuambia jamvini unataka tufanye nini????
'GODDAMIT DO SOMETHING MAN'
 
Serikali nayo ni lazima ifanye juhudi za ziada kuwafahamisha raia wake kuwa nchi ni ya wote!...wakati ni huu sasa! la sivyo ndio Taifa litazidi kuzalisha watu kama mtoa mada anayekuja kuelezea "udini" ulioko NSSF kwa sabau zisizo na mshiko wowote huku akiisahau NECTA, zaidi ya asilimia 75 wabunge wakristo, hali ni hiyohiyo kwenye baraza la mawaziri, makatibu wa Wizara, wakuu wa mikoa......
 
wewe acha upofu Tanzania inapata mrahaba tu kwenye madini na ajira kwa watu wake lkn haichimbi madini, na mikataba feki ya madini yote iliingiwa kipindi cha mkapa, na mashirika yote aliuzia wazungu na kuyabinafsisha leo unasema eti aliacha hela, uko nyuma sana na hakuna hata moja unalojua, kikwete anapambana na ufisadi ndo maana amekuwa pilix2 kwenu, hata mkikaaa makanisani mnawatetea mafisadi kwa sababu ya michango tu wanayoipata tena kutokana na mafisadi. NSSF inafanya vizuri, na mpost mada amehemkwa tu na roho mbaya ya kikatoliki lkn hakuna lolote, Mzee DAU Piga mzigo, hata kwa mtutu NSSF hawakutoi kwani utumishi wako umetukuka hadi moyoni. wakiristo tumuige DAU, kwa sababu ktk kampuni zote TZ NSSF pekee ndo inafanya kazi ya kuendeleza uchumi, angalia chuo cha UDM, Daraja la Kigamboni, Miradi ya kuzalisha Umeme, mchuchuma, majengo mbalix2 Tz nzima. bado bila haya unamsema DAU vibaya ama kweli wewe umetumwa na kanisa.
 
Roho yako mbaya tuu huwapendi Waislam punguza chuki yako binafsi .....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…