NSSF wameita for interview

NSSF wameita for interview

Hhahahahaha uko sahihi asilimia 100% Mkuu, kama siyo wa ule upande wa pili wala usisumbuke hata kuja interview.....

Hello dea friends, please let share interview hints if anyone have possible for the position
Also i think interview is divided into several session due to large number of applicants, please let share those session in order to help each others!!!! together we can friends, let believe we can all together and no any obstacles!!
Hearing responses friends!!!!
 
Ushauri: kwa wale hawajapata email ambazo kuna serial number na muda wa session yao, waingie kwenye website ya shirika yaani www.nssf.or.tz angalia pale chini kuna hotline ya namba ya simu ya vodacom uwapigie ili upate kuwaambia hiyo shida!! wataitaitatua usipate sheeda!!. poleni kwa usumbufu wanausailiwa wenzangu. tupeane hints za interview hiyo wadau!!! asanteni!
 
Upumbavu huu... mnaleta hoja za udini badala ya kutafuta vitu vya kuwasaidia kwenye interview??

Shauri zenu.
 
wewe aidha umetumwa na chiku au ni chiku mwenyewe mbona povu linakutoka?aliyekwambia kazi ni gpa nani?uislamu nssf hauhitaji darubini kuuona ni kitu kiko wazi kabisa.

tuwekee data inayoonesha percentage ya waislam na wakristo nssf tuone nani ni weengi

na tusiishie hapo tuh,

twende na mashirika mengine vile vile kama pspf,lapf,nhif na goverment agencies tuone

mna chuki sana makafiri,na mlidhani taifa hili wenye haki ya kukaa huko maofisini ni nyinyi pekee tuh

enzi hizi sio za yule godfather wenu nyerere

af huko maofisin mnakolilia mnafanya kipi cha maana zaid zaid ya wizi tuh??
 
Umeongea kaka lakn mkuu cjaelewa kitu kimoja hapo hizo intrvw mlizoitwa mlituma maomb lin coz 1 december walitangaza nafac za kaz nilappy ko cjajua ka ni hizo walzowalizo tangaza mwanzo mwa mwe huu.nijuze bro
 
Walitangaza mwezi wa saba
 
Title ya hii thread na kinachojadiliwa humu ni vitu viwili tofauti.
 
Jamani hawa watu yawezekana matapeli be care! Mimi mwenyewe nimeitwa lakini machale yamenicheza!!!!
 
tuwekee data inayoonesha percentage ya waislam na wakristo nssf tuone nani ni weengi

na tusiishie hapo tuh,

twende na mashirika mengine vile vile kama pspf,lapf,nhif na goverment agencies tuone

mna chuki sana makafiri,na mlidhani taifa hili wenye haki ya kukaa huko maofisini ni nyinyi pekee tuh

enzi hizi sio za yule godfather wenu nyerere

af huko maofisin mnakolilia mnafanya kipi cha maana zaid zaid ya wizi tuh??
Big show povu la nini mbona nasikia na ni kafiri.
 
Kama huna sigida hilo halikuhusu a majina ya akina Peter,George na mabinti wasiovaa hijabu fanyeni mengine tu ya muhimu.

Hii taarifa imenikatishaje tamaa kila mtu anazungumzia hili najiuliza connection hizo na hawa watu zipoje mbona watatumaliza
 
Hii taarifa imenikatishaje tamaa kila mtu anazungumzia hili najiuliza connection hizo na hawa watu zipoje mbona watatumaliza

Usikatishwe tamaa mpendwa....kwani hakuna mkristo hata mmoja??? Kila binadamu na rizki yake atii
 
Hii taarifa imenikatishaje tamaa kila mtu anazungumzia hili najiuliza connection hizo na hawa watu zipoje mbona watatumaliza

Usikate tamaa MankaM we nenda ujaribu bahati yako pengine unaweza kuwa kati ya wale wa kubalansishia
 
Linalo wasumbua hawa ndugu zetu hawajazoea kuona majina ya ramadhan abdallah haji katika nafasi kubwa....ila taratibu watakubali tuu
 
Back
Top Bottom