NSSF wameita for interview

NSSF wameita for interview

Mshahara wa Operation Officers na kwa Graduate yeyote kwenye kitengo chochote (Fresh from School) Ni Milioni Mbili(2) na kitu. Take home ni 1.8/1.9

kwa Diploma ni Laki nane.

N:B
Before Dr Dau Mishahara ilikuwa ni Laki sana na nane kwa Graduate.
 
Akili ya binadamu ina sehemu kuu tatu, APETITE, SPIRITED AND RATIONAL.

Mara nyingi APETITE and SPRITED parts of human soul zinapoitawala RATIONAL SOUL, basi hutokea tunayoyashuhudia humu jamvini.

Watu wa namna hii wapo gizani kifikra, hivyo uonaji wao umegotea katika vivuli. Mara nyingi wanapokuwa exposed katika mwanga, moja kati ya mawili hutokea, WATAPATA SHIDA SANA KUTAZAMA KATIKA MWANGA, PILI WANAWEZA WAKATAKA NA KUNG'ANG'ANIA WARUDISHWE GIZANI WALIPOTOKA.

Masikini!!! hawana uwezo wa kutofautisha kivuli cha ukweli na ukweli halisi, kwao maoni ndio ukweli wenyewe.

Mara nyingi wanasiasa huwa-manipulate watu hawa kwa cheap popularity.

Ni watu wanaofikiri kwa kuona na kufanza maamuzi kwa kuhisi.

Kimsingi hawana uwezo wa kuuona UKWELI jinsi ulivyo, isipokuwa huuona UKWELI unavyojitokezana pia uono wao hutawaliwa na VIONJO.

Hivyo basi ni jamii ya watu wapaswao kupuuzwa kwa sababu, hawana faida yoyote katika jamii, hii ni kutokana na kwamba hawana uwezo wa kuleta FIKARA SAHIHI NA SHINDANI ambazo mwisho wa siku zitakuwa ni chachu ya maendeleo ya jamii husika. WANA AKILI ZA KAWAIDA SAAAAAAANA.

ALHAMDULILLAH, nami ni miongoni mwa walioitwa katika interview NSSF.

ALLAH atufanyie sote kwa pamoja wepesi.
 
Mim ni muislam na nina sijda na nina vigezo vyote vnavyotakiwa lakin tokea mwaka 2011 naomba kaz waktoa nafas na cijawah kuitwa hata interview na hizi za operation officers nimeomba tena kwa wakat na nimekdh vgezo vyote wanavyotaka na cijaitwa na c mim tu kuna rafk yangu anaitwa omari hajaitwa na anaaply kila waktangaza kaz.hi dhana c yakweli kabxa,je mmefatilia TRA,TANAPA,TPA,LAPF,TANROADS,HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI? huko kote ni wagala wala nguruwe lakin hujaskia waislam wakikoment hum jf,kuwen civilized,nawaomba nssf wafuatilien kwa makin hawa wakristo hapo HQ ndyo wanaoleta hz hoja chafu humu jf ambzo hazna msingi,swala la kuswali ofcn n utartbu wa mtu na c wa shirika,mkumbuke ibada za waislam znakwenda kwa muda usifananishe na misa yakwanza na ya pili.
hiyo ni kweli,mbona waislamu wengine hawajaitwa
 
Wadau email zimetumwa na DOMINIC MBWETE huyu nae ni Muislam?

Mi pia nishalizungumza pia ukiangalia kwenye website yao upande wa management wakristo wapo na waislam wapo tena idadi ni sawa,hakuna udini suala ni juhudi zako tu
 
Jamani mbona email hiyo hainifikii mimi,ama kwakua sio upande ule mwingine wa dini!!?Mbona za TRA zimeingia bila shida!
Kutumiwa za tra ndio.umejiona unasifa sana,kaa basi usubiri leo labda itaingia
 
Jaman wadau tulioitwa cha msingi tuanze kudiscuss maswali yanavyokua huko tuachane na hawa wapiga kelele kuhusu dini wanatupotosha tu
 
Nawaomba watu wa management hapo NSSF HQ wafatilien wakristo wote hapo oficin tena weng wao hawa wenye vidigrii vyao waloajiriwa kuanzia 2010 wengi wakitoke UDSM,SAUT,MZUMBE na vyuo vingne vchache kama MAKUMIRA hawa ndo wameweka mpango wakuchafua uongozi wa ustadh DAU kwa kadri watakavyoweza na huo ni mpango madhubuti toka makanisani kwao wanakoabudu.Lengo uonekane uislam c din ya haki haohao wakisahau tupo waislam weng tunauona UOZO wa kidin maeneo mengi kama CRDB,TANAPA,TPA,TRA na hata majeshini,kuomba field tu kwa cc wakina ABDULWAKIL ni tatzo,wakristo 10 muislam 1 lakin hujawah kusikia muislam akileta hoja humu jf hata mara moja na wanayaona,je ni taasis gan hata iwe ya kdn inayotangaza kazi iseme upate barua ya uthbitisho kutoka kwa mufti/shehe lakn hawa wagalatia kaz nying znatangazwa hum na barua zptie kwa padre/mchungaji ila hatusemi,na WORD VISION ipo tanzania nchi isiyo na udin lakn haijiri waislam kabxa,naomba mnambie TRA ni ya wakristo? mbna waislam hawasemi?
 
Kuna huyu kijana ana ID ya ocampo four yupo hapo nssf HQ,haka ni kagalatia kwsha kazi,kenyewe kamepata kaz hapo halafu kanadanganya wenzake nakauliza yeye amepataje na jina lake ni la kikristo na nimesoma nae namfaham barabara,na nikipata namba ya cm ya mkurugenz namwanika kwa majina yote matatu aadhbiwe kinidham mana analeta uchochez wa kdn.wewe ocampo nitaweka taarifa zako hapa jamvin viongoz wa nssf HQ wakuone wakuadabishe kwa nin unachochea udin hum jf? wew n mkristo umepataje kazi nssf na tuliapply pamoja na vigezo tunafanana,koz moja,chuo kmoja na GPA 4.2 nimekuzid najua mana nakujua vzuri na mim hata interview sikuita wew mla nguruwe umeitwa leo unapotosha watu hapa na kama o-level nimesoma ILBORU na a-level MZUMBE na ni muislam pure na hata hz za juz nimekosa,kama n udni mbna wengne hatupat na c mim tu nipo na waislam wengi,acha ujinga umepata ajira unaleta upuuz wenzako wanaztafta huku mtaani ngoja nikuanike upgwe memo ujitambue mana hujajitambua bdo.,na hata ukpgwa ban ntapeleka vielelezo nssf HQ
 
Wewe aidha umetumwa na Chiku au ni Chiku mwenyewe mbona povu linakutoka?Aliyekwambia kazi ni GPA nani?Uislamu NSSF hauhitaji darubini kuuona ni kitu kiko wazi kabisa.

Back
Top Bottom