NSSF wameita for interview

kuna jamaa yangu wa HQ aliniambia ...duh kumbe ni kweli...hadi sehemu ya swala ipo ofisini..ni kweli jamani?
 
Mimi pia nimetumiwa email, chekini wadau. Tupeane hints za huko jamani wengine ndio interview ya kwanza.
Mkuu na mimi wameniita kwa written interview ila sijui huwa wanauliza vitu gani.
 
Mimi pia nimetumiwa email, chekini wadau. Tupeane hints za huko jamani wengine ndio interview ya kwanza.
nasikia hizo post niza kina ndugu zetu katika imani wakina mudi,dulla,rama,side na wengine wa jamii ya kanzu kwa hijabi
 
Karibuni NSSF, karibuni kwenye Shirika la kweli la Serikali la maendeleo, Karibuni muone na mjifunze ustaarabu wa kazi.
 
Jamani mbona email hiyo hainifikii mimi,ama kwakua sio upande ule mwingine wa dini!!?Mbona za TRA zimeingia bila shida!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom