tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,484
sio kweli,mbona kuna watu wana vyeo vikubwa sio waislamu, mfano c.magori, bonny kanemba/kahamba etcKama siyo muislamu forget about the job.........
sio kweli,mbona kuna watu wana vyeo vikubwa sio waislamu, mfano c.magori, bonny kanemba/kahamba etcKama siyo muislamu forget about the job.........
Jamani mbona email hiyo hainifikii mimi,ama kwakua sio upande ule mwingine wa dini!!?Mbona za TRA zimeingia bila shida!
Mshahara wa operation officer ni shillingi ngapi?,pia kuna marupurupu ?Niko NSSF HQ.....that is proof
Jamani mbona email hiyo hainifikii mimi,ama kwakua sio upande ule mwingine wa dini!!?Mbona za TRA zimeingia bila shida!
Mshahara wa operation officer ni shillingi ngapi?,pia kuna marupurupu ?
Mkuu na mimi wameniita kwa written interview ila sijui huwa wanauliza vitu gani.
Mim ni muislam na nina sijda na nina vigezo vyote vnavyotakiwa lakin tokea mwaka 2011 naomba kaz waktoa nafas na cijawah kuitwa hata interview na hizi za operation officers nimeomba tena kwa wakat na nimekdh vgezo vyote wanavyotaka na cijaitwa na c mim tu kuna rafk yangu anaitwa omari hajaitwa na anaaply kila waktangaza kaz.hi dhana c yakweli kabxa,je mmefatilia TRA,TANAPA,TPA,LAPF,TANROADS,HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI? huko kote ni wagala wala nguruwe lakin hujaskia waislam wakikoment hum jf,kuwen civilized,nawaomba nssf wafuatilien kwa makin hawa wakristo hapo HQ ndyo wanaoleta hz hoja chafu humu jf ambzo hazna msingi,swala la kuswali ofcn n utartbu wa mtu na c wa shirika,mkumbuke ibada za waislam znakwenda kwa muda usifananishe na misa yakwanza na ya pili.
Hhahahahaha uko sahihi asilimia 100% Mkuu, kama siyo wa ule upande wa pili wala usisumbuke hata kuja interview.....
Ramadhani Dau ongeza idadi ya
waislamu NSSF bado ni wachache
sana. Angalia mwenzako Kimei
amejaza wakristo tupu CRDB. Kitilya
alijaza wakristo tupu TRA. NMB
hakuna waislamu kabisa.