Tupe hali ilikuwaje mkuuHabari zenu...mimi ni mmoja wa walioitwa last week NSSF HQ kwenye oral interview kwa ajili ya post ya OPERATION OFFICER....nilienda pale jumtanano saa kumi....according to people nilowakuta pale wakawa wanasema ati interview ni mpaka jumapili ma wengine wakawa wanasema ati ni mpaka jumamosi....sasa sikujua which is which nikafanya interview yangu nikasepa zangu...ILA ITS TRUE WAMEITA WATU FOR ORAL INTERVIEW YA OPERATION OFFICER.
Habari zenu...mimi ni mmoja wa walioitwa last week NSSF HQ kwenye oral interview kwa ajili ya post ya OPERATIOERATION OFFICER.