mapengo junior
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,135
- 276
Kama si muumini wa Mudi andika maumivu
Uozo wa fikra acha kuongea upuuzi pumbaaaffffffffff
Kama si muumini wa Mudi andika maumivu
Kama si muumini wa Mudi andika maumivu
Una manisha nn mkuu???
majina gani? si wanasema interview zimeanza leo itajuaje watu wapo kazini?
Nina uhakika mtu kaenda kupiga oral leo jumatano NSSF operation offficer so hii ni interview ya tatu[ kwenda sasa/QUOTE]
walio wafanya interview tayari tupeni expirence tujiandae na lipi
kama nafasi za mwezi april hawajaanza kazi hadi sa hiz hizo za december ungezisahau kwanza!!!! fanya mambo yako tu wanaeza kuita baada ya uchaguzi mkuu
Sio kwa nafasi hizo hapo juu ni zile za kaleMbona kuna uzi humu unaoeleza kuna watu wameitwa for oral interview??
Hivi zile nafasi za NSSF walizotangaza toka Disemba 2014 wanaita lini au ndio shirika la kutangza kazi leo na kufanya usaili baada ya miezi 12?
Nafasi zenyewe zilikuwa za vitengo vifuatavyo;
VACANCY - DIRECTORATE OF INVESTMENT AND PLANNING2
VACANCY - DIRECTORATE OF INTERNAL AUDIT 2
DIRECTORATE OF INFORMATION TECHNOLOGY
DIRECTRATE OF ACTURIAL AND RISK MANAGEMENT
Kuna jamaa yupo NSSF aliniambia hao walioomba hizo post ndiyo walikuwa kwenye interview week hii zile za Operation Officer bado wapo kwenye mchakato