NSSF Ianze kutoa gawio la faida kwa wanachama?

Bora sie tulioamua kuwa wakulima na wajasiriamali. Kufikiria kina Kidula na genge lake wakijipangia miradi kwa pesa za wavuja jasho wa nchi hii huku wenye pesa hizo wakisota kufuatilia mafao yao, natia hasira tu.

BTW katika uzi huu utaona kuna kila dalili za political polarization; wanaolalia upande wa CCM na Serikali wanatetea NSSF na kwa wale walio anti-CCM (if I may say so) wanapinga (kutoa maoni?) dhidi ya NSSF na "miradi" yayo.

Bottomline ni je wafanyakazi/wanachama wa mifuko ya pensheni wanafaidika nini na michango yao au uwepo wa mifuko hiyo na uwekezaje unaofanywa na mifuko?
 
Sheria ya NSSF kifungu cha 62 (sijui kama kimefanyiwa mabadiliko) kinasema hivi:

62. Investment of money shall be done by the Board in any viable
venture as it may consider appropriate having regard to the
economic and commercial viability.

Je, kuna uwekezaji wowote ambao unaweza kukatazwa? Maana hata ukiangalia sheria ya SSRA (Kifungu cha 26) bado kinatoa uhuru mkubwa wa uwekezaji kufanywa na NSSF (pamoja na mifuko mingine). Hakuna kipengele hasa cha sheria kinachosimamia uwekezaji wa mfuko wa NSSF nje ya "guidelines" zilizowekwa na Benki Kuu.
 
hayo ni mawazo yako. we are late mwanakijiji, na kama sikosei wewe si mwanachama wa nssf labda huko merikani, sioni kinachokuwasha au ndo kufurahisha jukwaa? miradi inayofanywa na nssf ni zaidi ya gawiwo unalolitaka. biinafsi ni mwanachama tofauti na wewe lakini kwa yanayofanya na nssf kwa kweli kuwepo kwa vitu kama udom, mabibo hostels na mengine mengi yafanywayo, sioni ni gawiwo gani tena unataka. kwa kifupi ninachoona hapa ni majungu tu na kutaka kuwaridhisha hao mabwana zako wa chadema (kumbuka walivyokushambulia ulivyoonyesha kwenda kinyume nao). kwakweli lazima tuwe wazalendo if we want to move, we are behind in almost all aspect except majungu kama haya uliyoyaleta hapa labda ndo tunaongoza. better you shut up you mouth.

Lugha ya matusi hairuhusiwi humu.
 
1.Itakuwa jambo la busara kama wanachama watashirikishwa na pia kuwepo na vikao vya wanachama na hizi mifuko za jamii
2. Sipendezwi na tabia ya kuwajibu hovyo wanachama
3. waache ubabaishaji kwenye kutoa hela ya mwanachana,.....mnasumbua watu wanapoteza muda na hela za nauli kuja kwenu mara nyingi.
4. wajipange vizuri na database zao na siyo kurushiana mpira na wakurugenzi wa wafanyakazi husika. nina maana mwanachama unakuta hujawekewa hela mwaka na nusu ...ukienda wanakwambia office yako haijaleta na wakati payslip inaonyesha ilienda
5. Vaeni suti kali lakini mtuhudumie ipasavyo ikiwa ni pamoja na kulipa hela zetu kwa wakati na faida ya uwekezaji tupewe
 
hata huna aibu NSSF ndo mfuko unaoongoza kula pesa za wafanyakazi na raia kwa ujumla badala ya kuja na majibu ya maana unakuja kusema tuwahoji na wengine we wa wapi,mada iliyopo ni NSSF shida nini kama kuna umuhimu wa kuwajadili wengine itaendelea siku nyingine.GIVE US A CRITIIQUE ANSWER mnajaza matumbo yenu tu huku wana hisa wanakondeana yaone.

halafu wanaishia kutupa miavuli na vipeperushi sabasaba
 
Wiki iliyopita DG wa NSSF Ramadhani Dau, aliwapeleka wahariri Zanzibar na kuwapa Sh. Mil 1 kila mhariri. Ndoa ya mkurugenzi huyu na hao jamaa inatishia usalama wa michango ya wafanyakazi. Kuna kitu Dau anaficha na ameona namna bora ni kuwaweka wahariri mfukoni si anajua ni watu 'cheap'. Jukwaa la wahariri ni genge la wanafiki badala ya kusaidia jamii linaficha wezi

ndo zake hizo.natamani wanachama wasio waislam wangekataa kuchangia nssf.why ! Chunguza ujue kunani
 
hili kwa wahariri wa Tanzania sio geni na ndio unaona maendeleo yanavochelewa,kuna siku tulikwenda pale airpot kwa mwalimu nyerere na habari yetu ilikua na ushahidi kamili,ilikua ni taarifa ya kuibiwa kwa box za simu pale airpot na wezi ni wafanyakazi wa swisspot,alikamatwa na mzigo anauza mitaan tukaita vyombo habari tukahojiwa sana ni jinsi gani mali zetu zinavoteketea pale airpot mpaka leo tumepata ushahidi, tulipomaliza mahojiano sisi na waandishi mwisho ikawa zamu ya mkurugenzi wa swizzpot anaitwa GAUDENCE TEMU hapo boc alimwaga posho nzuri kwa waandishi ile habar iliyeyuka hapo ikawa ndio mwisho.
huyu islamist Dau hajui kutoa rushwa na kupokea riba ni tatizo kama kweli uislam ni practical.Sasa analazimisha watu wakope kwa riba tena kwa hela zao wenyewe.Hizi PHD sijui zina faida gani kwa watu zaidi ya kuwapa nafasi wasizoziweza.
 
Bora sie tulioamua kuwa wakulima na wajasiriamali. Kufikiria kina Kidula na genge lake wakijipangia miradi kwa pesa za wavuja jasho wa nchi hii huku wenye pesa hizo wakisota kufuatilia mafao yao, natia hasira tu.

BTW katika uzi huu utaona kuna kila dalili za political polarization; wanaolalia upande wa CCM na Serikali wanatetea NSSF na kwa wale walio anti-CCM (if I may say so) wanapinga (kutoa maoni?) dhidi ya NSSF na "miradi" yayo.

Bottomline ni je wafanyakazi/wanachama wa mifuko ya pensheni wanafaidika nini na michango yao au uwepo wa mifuko hiyo na uwekezaje unaofanywa na mifuko?

Ibambasi, kujiunga na Mifuko ni muhimu tena kwa wafanyakazi ni compulsory. Hapo hakuna tatizo maana principle ya social insurance ndio inayotumika. Ni mfano wa private insurance ambapo unapokatia bima gari lako(sio third part), basi mwisho wa siku chochote kikikupata unalipwa. Sasa social insurance faida ni zaidi maana unadeal na maisha ya mtu.

Tatizo lililopo ni hili la uwekezaji, huduma mbovu na mafao kandamizi.

Juzi juzi fao la kujitoa lilileta shida, wanachama waliporudishiwa wakadhani wamelamba dume kumbe la hasha. Kumbe pia mafao ya retirement yenyewe ni kandamizi wacha babangu. Why
1. Kanuni ya PSPF na LAPF ni bora sana eg mwl analipwa 70mil PSPF na prof analipwa 10 mil PPF au NSSF hawa wote wamechangia muda sawa, tena prof na kusota kote shule ana mshahara mkubwa zaidi ya mwl. Maumivu matupu.
2. Ikitokea umekufa baada ya kustaafa kwa PPF wategemezi watalipwa miezi iliyobaki ktk ile 36 ya udhamini tangu ulipostaafu. Kama alilipwa yote miezi 36 baada ya kustaafu basi huna kitu.
3. Kwa PSPF haijalishi marehemu alilipwa miezi mingapi baada ya kustaafu, wategemezi watalipwa mafao ya wategemezi kwa miezi 36. Baada ya hapo maumivu.
5. Hiyo withdraw yenyewe mtu unalipwa na interest kiduchu tena simple interest hata ungekuwa hizo hela umeweka benki, au kwenye makampuni ya hisa ungefaidika zaidi. Sasa huo sio uonevu kweli? Ndio maana wanachama wanapoona mainvestment makubwa halafu interest miaka 20 mtu aliyochangia anaishia kupata laki tano ktk michango ya milioni 60? Kweli jamani? Huo ni mfano wa PPF na NSSF.

Bado SSRA au Serikali inapaswa kuangalia hili jambo kwa karibu zaidi ili kuwafanya watu waone mifuko ni rafiki na wasijisikie vibaya kukatwa. Mbona bima za magari (comprehensive) hulazimishwi lakini kwa umuhimu mwenyewe unakata. Sasa huku kwenye social insurance (mifuko) ilitakiwa kuwa inakimbiliwa maana sio tu 10% ya mwana chama Bali na mwajiri anakuchangia pia 10% au 5% na 15%.

Tuache kuweka siasa kwenye mambo ya muhimu kama hili.

QueenEsther
 
QE,

Ndio maana nimesema bora kuwa mkulima au mjasiriamali. Una uhakika jasho lako ndilo litakalokulipa kwa maisha yako na ya wanao, hunhitaji kulumbana na kina Dau, kina SSRA sijui kina PPf wala nani. Mnahangaika kufanya kazi alafu wapuuzi wachache wanaamua pesa yako unayokatwa waifanyie nini na wewe wakulipeje!

Huo mfumo wa social security angalua kwa nchi zilizoendelea unaweza ukaona manufaa.
 
Inawezekana kwa kuanzisha mada za Bodi ya mikopo, ATC, CCM nina ugomvi na kila kiongozi mkuu wa taasisi hiyo. Kwenye hili sijamtaja Dau si kwa sababu namuogopa au namheshimu kivile ni kwa sababu nazungumzia taasisi ya NSSF. Dau is irrelevant kwenye hili. Hata akija kiongozi mwengine akiendelea na sera hizi hizi za NSSF ya sasa bado swali langu litasimama.

Wee mzee mbona unataka ugomvi na magamba? Hujui dividend ndiyo wanapewaga wateule kununua viti vyao vya kifalme? .....Kuna mambo mengi sana ambayo CCM ilirithi kutoka chama kushika hatamu za uongozi ambazo bado wanaendelea kufaidika navyo informally....All these irregulaties are to continue until we all agree CCM was wrongly conceived na ili tuendelee hainabudi tuiondoe kwanza yenyewe na tuweze kujenga a stable system ambayo haina mwingiliano na wana saisa.
 
Ibambasi, kujiunga na Mifuko ni muhimu tena kwa wafanyakazi ni compulsory. Hapo hakuna tatizo maana principle ya social insurance ndio inayotumika. Ni mfano wa private insurance ambapo unapokatia bima gari lako(sio third part), basi mwisho wa siku chochote kikikupata unalipwa. Sasa social insurance faida ni zaidi maana unadeal na maisha ya mtu.

Tatizo lililopo ni hili la uwekezaji, huduma mbovu na mafao kandamizi.

Juzi juzi fao la kujitoa lilileta shida, wanachama waliporudishiwa wakadhani wamelamba dume kumbe la hasha. Kumbe pia mafao ya retirement yenyewe ni kandamizi wacha babangu. Why
1. Kanuni ya PSPF na LAPF ni bora sana eg mwl analipwa 70mil PSPF na prof analipwa 10 mil PPF au NSSF hawa wote wamechangia muda sawa, tena prof na kusota kote shule ana mshahara mkubwa zaidi ya mwl. Maumivu matupu.
2. Ikitokea umekufa baada ya kustaafa kwa PPF wategemezi watalipwa miezi iliyobaki ktk ile 36 ya udhamini tangu ulipostaafu. Kama alilipwa yote miezi 36 baada ya kustaafu basi huna kitu.
3. Kwa PSPF haijalishi marehemu alilipwa miezi mingapi baada ya kustaafu, wategemezi watalipwa mafao ya wategemezi kwa miezi 36. Baada ya hapo maumivu.
5. Hiyo withdraw yenyewe mtu unalipwa na interest kiduchu tena simple interest hata ungekuwa hizo hela umeweka benki, au kwenye makampuni ya hisa ungefaidika zaidi. Sasa huo sio uonevu kweli? Ndio maana wanachama wanapoona mainvestment makubwa halafu interest miaka 20 mtu aliyochangia anaishia kupata laki tano ktk michango ya milioni 60? Kweli jamani? Huo ni mfano wa PPF na NSSF.

Bado SSRA au Serikali inapaswa kuangalia hili jambo kwa karibu zaidi ili kuwafanya watu waone mifuko ni rafiki na wasijisikie vibaya kukatwa. Mbona bima za magari (comprehensive) hulazimishwi lakini kwa umuhimu mwenyewe unakata. Sasa huku kwenye social insurance (mifuko) ilitakiwa kuwa inakimbiliwa maana sio tu 10% ya mwana chama Bali na mwajiri anakuchangia pia 10% au 5% na 15%.

Tuache kuweka siasa kwenye mambo ya muhimu kama hili.

QueenEsther

Some taarifa hii kuhusu benefit formulas ya mifuko ya hifadhi ya jamii http://www.ssra.go.tz/wp-content/uploads/2011/04/DAWN-FOR-SOCIAL-SECURITY-SECTOR.pdf

Is it uesful?
 
DR DAU ATOA UFAFANUZI KWENYE MKUTANO WA WADAU WA NSSF HUKO ARUSHA

Last edited by a moderator:

Walisema wanafaida kiasi kwamba wanaweza kuishi hata miaka saba pasipo michango.
 
Great thinking,ingekuwa wabunge wa CCM wanafikiri vizuri wangeichukua hii wakaipeleka bungeni.
Sina shaka na upinzani kwa sababu najua wataichukua problem ni wakati wa kupiga kura ambapo hawa majority hupiga kura za kinafiki.

Ni nchi ya ajabu ambapo unachangia mradi ambao hunufaiki nao hata kidogo. Hata ajira yako ikifika kikomo kupata michango yako inakuwa shughuli.

Nimmuda muafaka hili likawekwa vizuri ili wnachama wa mifuko wanufaike kwa kuwa wamechangia damu yao nyingi.
 
Back
Top Bottom